Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #101
Unajitofautishaje na sokwe?Labda wewe...🤣
Unajitofautishaje na sokwe?Labda wewe...🤣
Ulikuwepo au una uhakika gani?Kuna makundi ya binadamu yalisafiri kutoka afrika miaka takribani 300,000 iliyopita.
Kwa jinsi lilivyokubwa vile lile ni lakwako...😂Lilikuwa fuvu la mzungu, mwarabu au nani?
Wataalamu mbalimbali wametumia vigezo mbalimbali kudadisi.Ulikuwepo au una uhakika gani?
Mh! unanitafutia ban...🤣Unajitofautishaje na sokwe?
Binadamu wa kwanza alikuwa na rangi ya kahawia kahawia ndio rangi iliyobeba combination ya rangi zote kadri walivyosambaa duniani ndivyo walivyobadilika kulingana na hali ya hewa na tabia nchi.Elezea kwa kina, kwamba walikuwa weusi wakapigwa na jua na kubadilika rangi au?
Itoshe kusema kwamba binadamu wa kwanza kuwepo duniani alikuwa mweusi, kwasababu hata udongo wenyewe ni mweusi mweusi ,sio?Kwa mujibu wa vitabu vya dini MUNGU alimuumba mtu mmoja tu kwa udongo. Hao wengine walizaliwa(walitokana na mtu) Sio udongo. So inawezekanaje dhana ya kuwa na udongo tofauti Inakawa na maana hapo wakati alie umbwa kwa udongo alikuwa mmoja tu..?? Au untaka useme kwamba MUNGU aliumba watu wa aina tofauti kwa udongo tofauti
Katika evolution mabadiliko ni mchakato ambao unaenda taratibu sana. Mpaka tofauti ionekane inaweza kupita labda miaka 10,000 kwaiyo hakuna ambae atayaona mabadiliko kutoka hatua moja kwenda nyingine kwa sababu hakuna binadamu anaweza kuishi miaka 10,000.Utafiti wa kina unatakiwa uendelee ili kutupa jibu sahihi, kwa sababu wapo wazungu, waarabu wanazaliwa huku kwetu lakini hawabadiliki.
hahaha kabisa mkuuInawezekana tumedanganywa, ni sawa na kusema mlima fulani umevumbuliwa na x, wakati muda wote mlima ulikuwepo.
Hivi alisema jua huwa linazama wapi vile?Alisisitiza elimu na kusema itafutwe hata uchina kumbuka zama hizo hakuna teknolojia wala usafiri kama sasa
Na mungu alifanya makusudi kuleta mtu asiye msomi na kutupa habari zote hizo bila ya shaka, laiti angekuwa msomi tungebisha na kusema ametunga
Mission aliyopewa Binadam ni tofauti na vitu ulivyovitaja.Je, kitoweo unachokula awe samaki, kuku, ng'ombe n.k huwa wanamuona Mungu? Kwa sababu ili aweze kuliwa lazima afe.
Huo msemo wako wa ndizi si tamu kikapanda kikashuka, ulikuwa una target huyo Mungu.Ebu onyesha wapi nimesema jaribu hata kidogo kunionyesha.
Kinachojadiliwa na unacho komenti ni kitu tofauti kabisa.
Naamini kwamba kila kitu na wakati wake.
Wakati wa kumuona Huyo Mungu unayemkanusha utafika na utamuona wewe binafsi ni kama wewe ukiugua huwezi kunitaka mimi nithibitishe kiwango cha maumivu yako.
Watu wa kanda ya ziwa walikuwa wanawafukuzia Albino visiwa vya Ukerewe. Ndiyo vinaongoza kwa Albino per capita duniani.Unamkuta baba na mama ni weusi haswaaaa halafu anazaliwa mtoto albino - mengine ni kuyaacha tu kama yalivyo
Mbona hali ya hewa haiendelei kutubadili kwa sasa? Nikienda ulaya nitabadilika kuwa mzungu?Hali za hewa zina athari kubwa kwenye maumbo rangi na tabia
Imani haina majibu.Kwa mazingira haya, maswali magumu yanaweza kujibiwa kwa imani, kuamini vitu vya kusadikika?
The Quran (Surah Ar-Rahman 55:17) mentions "He is Lord of the two sunrises and Lord of the two sunsets." This refers to the sun rising and setting at different points in the east and west during the summer and winter solstice. The sun's path across the sky changes throughout the year, and these points of sunrise and sunset are what the verse refers to.Hivi alisema jua huwa linazama wapi vile?
Kama unaamini ujinga huo wa kwenye movie lazima uliaminishwa pia iddi amini anakula nyama za watu, haya ndio madhara ya poor education mnayoipataAngekuwa msomi angekuwa anaeleweka na ana reason. Mtafute elimu duniya kwa makafiri? Hawa watu wanawaambia acheni kukata watu vichwa, kulipua mabomu, kujitoa mhanga hamtaki fuata hayo. Acheni kuoa watoto wadogo waacheni wasome hamtak.