Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #141
Na je, yupo; na kama yupo ana mfanano upi na ni jinsia ipi?Who made Allah?
Na je, yupo; na kama yupo ana mfanano upi na ni jinsia ipi?Who made Allah?
Ni nini kilichosababisha kuwepo na utofauti?Ni kama unavyoona ngombe weupe na weusi tuu,
Ni kama unavyoona kuku wenye rangi tofauti tofauti,
Ni kama vile unavyoona nyoka wenye rangi mbali mbali
Mabadiliko huwa yanachukua maelfu ya miaka mkuu.Kwa mfano, wakibadilishana mazingira kwa sasa, kutatokea mabadiliko yoyote?
Kuna waafrika wako nje zaidi ya miaka 20, lakini bado wako na vipilipili vyao; unasemaje kuhusu hao?Huku Afrika Kuna jua Kali hivyo nywele zilichomwa na jua hadi zikawa vipilipili.
Nini kifanyike ili tuweze kupata jibu sahihi?Wote ni WAONGO hakuna mwenye jibu...
Inawezekana kukawa na ukweliMabadiliko huwa yanachukua maelfu ya miaka mkuu.
Kukosekana jibu nako ni jibu... ila kubuni majibu ya uongo ni kuingizana uoga na utapeli...Nini kifanyike ili tuweze kupata jibu sahihi?
Summary.Hali za hewa zina athari kubwa kwenye maumbo rangi na tabia
Pengine nyoka kuwa na rangi tofauti huenda walihama mabara na hiyo ikasababisha wawe na maumbile na rangi tofauti.Ni nini kilichosababisha kuwepo na utofauti?
Ukweli ndio huo. Ndio maana wachina wote wapo sehemu moja, sio coincidence wamejikuta wapo eneo la Asia, Halafu watu weusi tukajikuta tupo eneo la Afrika na Wahindi wekundu eneo la Amerika na wazungu mashariki ya kati na magharibi. Hiyo ni pattern ya kimazingira.Inawezekana kukawa na ukweli
Kumbuka kuna watu sadaka zao zinaliwa na wajanja!Kukosekana jibu nako ni jibu... ila kubuni majibu ya uongo ni kuingizana uoga na utapeli...
Ukipewa miaka 5 ufanyie utafiti hii mada,utaweza kuja na majibu?Pengine nyoka kuwa na rangi tofauti huenda walihama mabara na hiyo ikasababisha wawe na maumbile na rangi tofauti.
Ila nawaza ujinga
Kwa hali hiyo kabla ya mabadiliko ya kimazingira, binadamu wa kwanza alikuwa yupi; muarabu, mzungu au?Ukweli ndio huo. Ndio maana wachina wote wapo sehemu moja, sio coincidence wamejikuta wapo eneo la Asia, Halafu watu weusi tukajikuta tupo eneo la Afrika na Wahindi wekundu eneo la Amerika na wazungu mashariki ya kati na magharibi. Hiyo ni pattern ya kimazingira.
Hapo kwa kweli sijui 😁.Kuna waafrika wako nje zaidi ya miaka 20, lakini bado wako na vipilipili vyao; unasemaje kuhusu hao?
Una uthibitisho gani na hilo?Rangi ya ngozi ni urithi unaopitishwa kizazi hadi kizazi. Maelfu ya miaka iliyopita, binadamu wote walikuwa weusi (kutoka Afrika). Waliotawanyika kwenda Ulaya, Asia, na maeneo mengine walipitia mabadiliko ya kijeni (genetic mutations) kwa ajili ya kuendana na mazingira yao mapya. Ndiyo maana watu wa Ulaya wana ngozi nyepesi, na wale wa Asia wana rangi ya kati.
Binadamu ametokana na specie ya nyani. Nyani walikuwa aina tofauti tofauti. Hivyo races hizi hazina chimbuko moja mkuu.Kwa hali hiyo kabla ya mabadiliko ya kimazingira, binadamu wa kwanza alikuwa yupi; muarabu, mzungu au?
Umeeleza kwa ufupi na simple sana ila ni ngumu sana kwa wenye akili kama Tlaatlaah Lucas Mwashambwa kuanza kutumia kuchanganua.Tabia nchi na za kitropiki
Watumwa kawaida huwa ni wengi sababu wanapenda kutafuniwa majibu hawataki kutafuta suluhu ya shida zao....Kumbuka kuna watu sadaka zao zinaliwa na wajanja!