Kitu gani kilichosababisha kuwepo na binadamu wenye rangi tofauti tofauti?

Binadamu ametokana na specie ya nyani. Nyani walikuwa aina tofauti tofauti. Hivyo races hizi hazina chimbuko moja mkuu.
Kwa hiyo, manyani wa zamani baada ya kupigwa na jua ndio wakawa na ngozi laini na kuwa binadamu?
 
Ni transformation ya maelfu kwa maelfu ya miaka. Soma Darwin's theory. Hii dunia ina mamilioni ya miaka. You can't track the beginning.
 
Huyu Darwin alithibitisha au ulikuwa ni mtazamo wake tu?
 
Elezea kwa kina, kwamba walikuwa weusi wakapigwa na jua na kubadilika rangi au?

Hilo ndo jibu jepesi .

Genes hufanya mabadiriko over a long period of time....

Sasa ndo u avatar walokaa nchi za barafu kwa myaka mingi sana ..(weupe)

Walokaa nchi za joto kwa wastan (Uganda wa tropic) Hawa ni weus kutokaana na jua kuwa kali siku zote over very long period.

Alaf wale wa upende ambao una experience joto kali na bardi kali usiku (waarabu wa jangwani)

(Kwa wepesi, au juu juu. Haya ndo majibu yake)
 
Huyu Darwin alithibitisha au ulikuwa ni mtazamo wake tu?
Wanasayansi wanafanya tafiti kwa muda mrefu na wanakuja na evidence. Bandiko lake linatumika kama moja ya nadharia ya majibu ya chimbuko la mwanadamu. You can't ignore scientific research methods.
 
Hilo ndo jibu.

Genes hufanya mabadiriko over a long period of time....

Sasa ndo u avatar walokaa nchi za barafu kwa myaka mingi sana ..(weupe)

Walokaa nchi za joto kwa wastan (Uganda wa tropic) Hawa ni weus kutokaana na jua kuwa kali siku zote over very long period.

Alaf wale wa upende ambao una experience joto kali na bardi kali usiku (waarabu wa jangwani)
Kwa hiyo mtu wa kwanza alikuwa wa rangi ipi?
 
Wanasayansi wanafanya tafiti kwa muda mrefu na wanakuja na evidence. Bandiko lake linatumika kama moja ya nadharia ya majibu ya chimbuko la mwanadamu. You can't ignore scientific research methods.
Alipoishia yeye inabidi na sisi tuendeleze ili kuupata ukweli zaidi
 
Kwa hiyo mtu wa kwanza alikuwa wa rangi ipi?

Okay. Ngoja nikujib.

Kuna theory nyingi. Mimi naamini ile moja inayosema mtu wa kwanza alikuwa wa dhambarau.

Na ukitaka kujua watu walianza kutofautiana rangi lini Somakitabù mwanzo kuanzia mrango wa 20 kama skosei.

Utakutana na maelezo mengi sana.

Utagundua kuwa watoto wa nuhu walikuwa Wana rangi moja isipokuwa watoto wao ndo wakaja kutofautiana rangi kufatana na maeneo wanayoish.

Pale utakuta maeneo ya mwafrica yanarejelewa kama

mizraim, Ethiopia, kush, misri na mengine.

Na yote hayo humanisha ardhi ya watu ambao ngozi zao zimechomwa na jua.

Natamani ningekujib kila utakachohitaji kujua but with much concern on Africa and its people.

Mfano je kizazi chetu kililaaniwa ??
Na mengi e mengi.
 
Tatizo umeanza kuleta stori za kusadikika kutoka kwenye vitabu
 
Back
Top Bottom