Kitu gani kilichosababisha kuwepo na binadamu wenye rangi tofauti tofauti?

Kitu gani kilichosababisha kuwepo na binadamu wenye rangi tofauti tofauti?

Kama unaamini ujinga huo wa kwenye movie lazima uliaminishwa pia iddi amini anakula nyama za watu, haya ndio madhara ya poor education mnayoipata
Haya mbona hayahitaji hata elimu ya darasa ya kwanza? Yapo tu wazi na sisi wasomaji Quran tunajua siyo siri
 
Babu zetu walipofika huko Ulaya wakachakata K za Neandertal wakatuletea hawa maaalbino mbayoita wazungu
 
Kuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika.

Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa.

Sasa ni kitu gani kilicho sababisha kuwepo na huu utofauti?​
Watu wana rangi tofauti za ngozi kwa sababu ya tofauti za kijeni na mazingira wanayoishi. Sababu kuu ni:


1. Melanin – ni kemikali kwenye ngozi inayotoa rangi. Watu wenye melanin nyingi huwa na ngozi nyeusi; wenye kidogo huwa na ngozi nyeupe.


2. Mazingira – watu wa maeneo ya jua kali (kama Afrika) walihitaji melanin zaidi kwa ulinzi dhidi ya jua. Wanaotoka maeneo ya baridi au yenye mwanga mdogo (kama Ulaya) wana melanin kidogo.

3. Urithi wa asili ya koo – rangi hurithiwa kutoka kwa wazazi na mababu
 
Mazingira ndio yameleta utofauti. Sio rangi tu hata maumbo ya mwanadamu, kuna maeneo kuna giants na maendeo kuna dwarfs.
 
Katika evolution mabadiliko ni mchakato ambao unaenda taratibu sana. Mpaka tofauti ionekane inaweza kupita labda miaka 10,000 kwaiyo hakuna ambae atayaona mabadiliko kutoka hatua moja kwenda nyingine kwa sababu hakuna binadamu anaweza kuishi miaka 10,000.

Wewe sasa hivi ukiamishia makazi yako jijini London haiwezekani ukakaa pale miaka 30 halafu nywele na ngozi ikabadilika na kuwa mzungu. Hali ya hewa mpaka iguse kwenye genes na kusababisha mabadiliko ni mchqkato mrefu. Kwaiyo kama uzao wako utaendelea kuwepo hapo hapo London maana yake miaka takribani laki moja ijayo ndipo gene yako inaweza kuwa imebadilika na kizazi chako kikatoa mtoto mzungu
Hii kidogo inaweza kuleta maana
 
Mission aliyopewa Binadam ni tofauti na vitu ulivyovitaja.
yaani ni sawa useme gari likifa linaenda wapi?

Mungu anatwambia hakumba Majini na watu ila wamuabudu kwa mantiki hiyo wewe upo kwa ajili ya kumwabudu aliyekuumba hivi vitu vingine vipo kwa ajili ya kulahisisha maisha ya uwepo wako hapa Duniani na ndio maana tunatofauti kubwa na hivyo ulivyovitaja.

Una swali uliza.
Una uhakika gani hayo ni maneno ya Mungu na si maneno ya muandishi wa hivyo vitabu?
 
Watu wana rangi tofauti za ngozi kwa sababu ya tofauti za kijeni na mazingira wanayoishi. Sababu kuu ni:


1. Melanin – ni kemikali kwenye ngozi inayotoa rangi. Watu wenye melanin nyingi huwa na ngozi nyeusi; wenye kidogo huwa na ngozi nyeupe.


2. Mazingira – watu wa maeneo ya jua kali (kama Afrika) walihitaji melanin zaidi kwa ulinzi dhidi ya jua. Wanaotoka maeneo ya baridi au yenye mwanga mdogo (kama Ulaya) wana melanin kidogo.

3. Urithi wa asili ya koo – rangi hurithiwa kutoka kwa wazazi na mababu
Sawa, binadamu wa kwanza alikuwa na rangi ipi?
 
Back
Top Bottom