Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #21
Kile kitabu kiiandikwa na nani?Hili mwenyezi mungu alishalitolea ufafanuzi vizuri kwenye quran
Kile kitabu kiiandikwa na nani?Hili mwenyezi mungu alishalitolea ufafanuzi vizuri kwenye quran
Ni kitu gani kinahotufanya tuamini binadamu wa kwanza aianzia pale, na je alikuwa mzungu, mwarabu, mwafrika au?Tunaambiwa binadamu walianzia Olduvai Gorge
Itupe majibu ya mada tajwa.NR NE
This verse from the Qur'an teaches us that Allah has made us all equal in His eyes but provided us with varying nations and races to allow us to know each otherKile kitabu kiiandikwa na nani?
Tunawezaje kuthibitisha hili?Kisayansi binadamu kiasili ni mweupe kama sokwe walivyo weupe. Alivyotoka porini na kwenda nyikani za Afrika Mashariki akapigwa na jua na kuwa mweusi. Alivyoanza kutawanyika kwenda mazingira mbalimbali akaanza kupata rangi mbalimbali. Kupitia natural selection watu wa rangi mbalimbali wakajigawa kimaeneo.
Kibiblia binadamu ni mweusi, wa kwanza kuwa mweupe ni Noah. Hadi baba yake alimshangaa na kwenda kwa babu yake kuuliza zaidi mbona nimezaa mtoto mweupe.
Yale yalikuwa maoni/mtazamo tu ya muandishi kwa lengo maalumu.This verse from the Qur'an teaches us that Allah has made us all equal in His eyes but provided us with varying nations and races to allow us to know each other
Imagine mtu asiyejua kusoma wala kuandika kaleta kitabu miaka efu iliyopita kilichokamilika na chenye kutoa maelekezo ya maisha na majibu ya kisayansi hadi leo , hakika mungu ni mkubwaYale yalikuwa maoni/mtazamo tu ya muandishi kwa lengo maalumu.
Ni sawa na vile vitabu vinavyoelekeza sisi tulikuwa sokwe.Imagine mtu asiyejua kusoma wala kuandika kaleta kitabu miaka efu iliyopita kilichokamilika na chenye kutoa maelekezo ya maisha na majibu ya kisayansi hadi leo , hakika mungu ni mkubwa
Mmeanza kuleta hekaya za vitabuni badala ya facts zenye ushahidi na uthibitisho.Enyi watu! Hakika sisi tumewaumba kutokana na mwanaume mmoja na mwanamke mmoja na tumewafanya kuwa ni mataifa na makabila ili mfahamiane, hakika aliye mtukufu wenu zaidi mbele za Allah ni aliye mchamungu zaidi katika nyinyi, hakika Allah ni mwenye elimu mwenye khabari {zote}.
Qu'ran 49:1e
Imagine mtu asiyejua kusoma wala kuandika kaleta kitabu miaka efu iliyopita kilichokamilika na chenye kutoa maelekezo ya maisha na majibu ya kisayansi hadi leo , hakika mungu ni mkubwa
Maswahaba wa mtumeKile kitabu kiiandikwa na nani?
Aliandikaje na hajui kusoma na kuandika? Waliandika marafiki zake na manaswara. Ni jambo la kawaida tu. Sema ndo amesababisha sisi wengi tuchukie shule au elimu sababu yeye ndo role model.Imagine mtu asiyejua kusoma wala kuandika kaleta kitabu miaka efu iliyopita kilichokamilika na chenye kutoa maelekezo ya maisha na majibu ya kisayansi hadi leo , hakika mungu ni mkubwa
Inawezekana wasomi wabobezi wakatusaidia kutupa majibuMtoa mada kama wewe binafsi huamini katika Mungu basi usiulize maswali kama hayo, kwasababu hakuna majibu ya swali hilo nje ya vitabu vya dini.
Kama yupo mwenye majibu nje na vitabu, aweke hapa facts zake..... Naamini hakuna........
Kwa mazingira hayo, unaamini hatuwezi kupata majibu?Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, udadisi, uchunguzi na majaribio zaidi.
We cannot solve the ultimate mysteries of nature because we ourselves are the part of the mysteries we are trying to solve.
So we are still figuring out, Why are we here on earth? Why do we differ?
Questions are more than answers.
Mbona wazungu wakija africa hawabadiliki kuwa black kama sisi hata akae miaka 100..Hali za hewa zina athari kubwa kwenye maumbo rangi na tabia
Hakuna, kama yupo mtu aje aseme...Inawezekana wasomi wabobezi wakatusaidia kutupa majibu
Tunaweza kupata majibu.Kwa mazingira hayo, unaamini hatuwezi kupata majibu?