Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
Wazazi au mzazi mmoja atakuwa na vimelea au gene za ualbino kwa maana gene za albino zipo dominated na gene za kawaida# Normal but carrier#Umueelewa lakini ? uUsikurupuke huo ni utani fuatilia nilimquote na uache shobo siku nyingine...Lushoto ni kawaida kukuta baba na mama wanazaa albino wakiwa wao sio albino ,nimeongezea hapo wako wengi tena wazuri kutokana na mazingira ya kule ngozi yao haiwezi kuharibika na jua.
Fuatilia niliyemquote kwanza usikariri watu na uache mazoea ...Kama unataka ubishi niko tayari.
Za ukoo au ?Jao
Wazazi au mzazi mmoja atakuwa na vimelea au gene za ualbino kwa maana gene za albino zipo dominated na gene za kawaida# Normal but carrier#
Ulimuona akiwaumba wanadamu?Nimekuletea maneno ya aliyewaumba wanaadamu na aadam mwenyewe, so sina ushahidi mwingine unaotosheleza zaidi ya huo.
Unanifanya nipoteze muda wangu mwingi kukupa hints.Una uthibitisho gani na hilo?
Ni nani aliyemzaa mwanadamu wa kwanza? au mwanadamu hana mwanzo.Thibitisha, wewe uliumbwa na haukuzaliwa
Unaamini tukiwauliza wazungu, waarabu n.k, watakubaliana na hoja yako ya kuwa, mtu wa kwanza alikuwa mweusi?Unanifanya nipoteze muda wangu mwingi kukupa hints.
Binadamu Wote Walikuwa Weusi Mwanzoni Kwa udhibitisho huu.
1Kwa mujibu wa sayansi ya DNA, historia, na fossils (mabaki ya kale), binadamu wa kwanza kabisa walitokea Afrika ya Mashariki – hasa maeneo ya Ethiopia, Kenya, na Tanzania.
Mababu zetu waliishi Afrika kwa maelfu ya miaka wakiwa na ngozi nyeusi sana, pua pana, na nywele za Afro. Hii iliwasaidia:
Kujikinga na jua kali (UV rays)
Kupata joto la kutosha
Kuendelea kuishi na kuzaa vizazi vingine
Baadaye, baadhi yao walisafiri hadi Ulaya, Asia, na maeneo ya baridi. Kule walipitia mabadiliko ya vinasaba (genes) ili kuendana na mazingira:
Ngozi ikaanza kuwa nyeupe au ya kahawia
Pua zikawa nyembamba kupasha hewa baridi
Nywele zikawa nyembamba kutokana na unyevunyevu mdogo
Lakini hata Wazungu, Wachina, na watu wote wa dunia — wanabeba sehemu ya DNA ya mababu wetu wa Kiafrika!
Tujivunie Asili Yetu!
Binadamu wote ni kabila moja – tofauti za nje ni baraka ya mazingira, si sababu ya kubaguana!
📚 Elimu ni Silaha – Tujielimishe, Tuelimishe!
Sasa wanadamu wametoka wapi?.Ulimuona akiwaumba wanadamu?
Au unatetea hekaya za vitabuni ulizo aminishwa na kupumbazwa?
Ni nani aliyemzaa mwanadamu wa kwanza? au mwanadamu hana mwanzo.
Mbona hasira sasa! Kwani ilikuwa lazima nikujibu utakavyo?Nafikiri hauna majibu ya kueleweka we endelea na uganga wako huo
Na ndio matokeo ya kujichanganya kwenye ideologies haya wewe umetokana na uchafu ila sisi uumbaji wetu umeelezwa hapa na unamake sense na sayansi ya leo imethibitisha.Inabidi tutafute ukweli, kwa sababu ukikusanya maozo ya uchafu, baada ya siku kadhaa yanageuka kuwa viumbe (wadudu); inawezekana ata sisi binadamu tulianza hivyo.
Hayo maandishi yaliandikwa na nani, na alikuwa na malengo yapi?Na ndio matokeo ya kujichanganya kwenye ideologies haya wewe umetokana na uchafu ila sisi uumbaji wetu umeelezwa hapa na unamake sense na sayansi ya leo imethibitisha.
Inawezekanaje maandishi yenye zaidi ya miaka 1400 yaje na ufafanuzi murua hivi? ukumbuke hapo ni zaidi ya millennium na karne za kutosha kabla ya modern science.
Enyi watu! Ikiwa nyinyi mna mashaka juu ya kufufuliwa basi kwa hakika sisi tumewaumba kutokana na udongo, kisha kutokana na manii, kisha kutokana na kipande cha damu iliyoganda, kisha kutokana na kipande cha nyama chenye umbile na kisichokuwa na umbile ili tupate kuwabainishia, nasi tunakiweka katika mji wa uzazi tunachokitaka mpaka muda maalumu uliowekwa, kisha tunawatoa hali ya kuwa ni watoto wachanga, kisha mfikie baleghe, na wapo katika nyinyi wanaokufa, na wapo katika nyinyi wanaorudishwa kwenye umri wa udhalili kabisa mpaka mtu awe hajui kitu baada ya kuwa alikijua, na unaiona ardhi imetulizana lakini tunapoyateremsha maji juu yake husisimka na kututumka, na kumea kila namna ya mimea mizuri."
Qu'ran 22:5
Kisha nianze kutafuta mwanadamu alitokana na mrundikano wa takataka? hizo takataka zilitokana na nini?! na ni nani aliezizalisha?.
".........sikilizeni!! kwa hakika hao wanaobishana kuhusu habari za qiyamah wamo katika upotevu wa mbali kabisa."
Qu'ran 42:18
Nakubaliana na hii hoja.Unanifanya nipoteze muda wangu mwingi kukupa hints.
Binadamu Wote Walikuwa Weusi Mwanzoni Kwa udhibitisho huu.
1Kwa mujibu wa sayansi ya DNA, historia, na fossils (mabaki ya kale), binadamu wa kwanza kabisa walitokea Afrika ya Mashariki – hasa maeneo ya Ethiopia, Kenya, na Tanzania.
Mababu zetu waliishi Afrika kwa maelfu ya miaka wakiwa na ngozi nyeusi sana, pua pana, na nywele za Afro. Hii iliwasaidia:
Kujikinga na jua kali (UV rays)
Kupata joto la kutosha
Kuendelea kuishi na kuzaa vizazi vingine
Baadaye, baadhi yao walisafiri hadi Ulaya, Asia, na maeneo ya baridi. Kule walipitia mabadiliko ya vinasaba (genes) ili kuendana na mazingira:
Ngozi ikaanza kuwa nyeupe au ya kahawia
Pua zikawa nyembamba kupasha hewa baridi
Nywele zikawa nyembamba kutokana na unyevunyevu mdogo
Lakini hata Wazungu, Wachina, na watu wote wa dunia — wanabeba sehemu ya DNA ya mababu wetu wa Kiafrika!
Tujivunie Asili Yetu!
Binadamu wote ni kabila moja – tofauti za nje ni baraka ya mazingira, si sababu ya kubaguana!
📚 Elimu ni Silaha – Tujielimishe, Tuelimishe!
Kwani lazima wakubali?Unaamini tukiwauliza wazungu, waarabu n.k, watakubaliana na hoja yako ya kuwa, mtu wa kwanza alikuwa mweusi?
Uthibitisho wa kisayansi huwa unakubalika popote pale ulimwenguniKwani lazima wakubali?
Kwenye K za mama zao.Sasa wanadamu wametoka wapi?.
Ni mama yake.Ni nani aliyemzaa mwanadamu wa kwanza? au mwanadamu hana mwanzo.
Kama tabia nchi ndio inayosababisha rangi ni kwa nini wale watumwa ambao walichukuliwa na wakoloni wakapelekwa marekani kwa nini hadi leo kizazi chao bado kina watu weusi?Tabia nchi na za kitropiki
Wazungu wenyewe hawajaja na uthibitisho wamekuja na nadharia tu.Uthibitisho wa kisayansi huwa unakubalika popote pale ulimwenguni
Kuna kizalia pia..Kama tabia nchi ndio inayosababisha rangi ni kwa nini wale watumwa ambao walichukuliwa na wakoloni wakapelekwa marekani kwa nini hadi leo kizazi chao bado kina watu weusi?