Kitu gani kilichosababisha kuwepo na binadamu wenye rangi tofauti tofauti?

Na hizo rangi zikaendana na akili.

Mweusi ndio the dumbest of all. Akifuatiwa na Muhindi na Mspanish na Muarabu.

Juu kabisa kuna Mzungu, Mjapan, Mkorea.

Mimi, I wish and pray all night kwamba Mzungu angetusanua tu, kwamba rangi na akili ni LINKED GENES. Zinahamishika pamoja kwa saab ziko kwenye segment moja ya chromosomes.

Ataitwa a rancid and rabid racist. Lakini atakuwa
ametusaidia. Ili tukae tukijua sisi ni natural idiots. Ili tujipange.
Ni sawa na kiwandani, mpaka upate ile sukari nyeupe kabisa lazima ipitie hatua kadhaa
 
Me nimefikiria nmeona kuwa sababu kuu ni CCM.

Sijui niseme Nini ila najua mshanielewa.
 
Evolution ni theory ambayo hata mtoto wa darasa la tatu akipewa basics anagundua mapungufu yake kuwa ni makubwa sana.

Na huko kote ni kuhangaika tu kwani ukisema yupo mwanzilishi wa vitu vyote aliyekuwa smart sana na mwenye mipango madhubuti katika viumbe vyake, utapungukiwa na nini? au mnamuonea wivu mola wenu kuwa yeye ndiye aliyeumba kila kitu hata mnaogopa kumtaja?.

Akina sawima hawataki kujisalimisha kwa Mola Mlezi wa Walimwengu Wote wakakiri Ufalme wake na Uungu wake na wakamuabudu Yeye Peke yake bila ya kumshirikisha na chochote. Wanajua kuwa Yeye ndiye Muumba wa kila kitu lakini wanalikimbia hilo. Wanatafuta pa kushikia ili wakimbie kujisalimisha kwa Muumba wa kila kitu.

Tunamuomba Allah atuthibitishe nyoyo zetu katika Dini yake na atufishe katika Tawheed, Aamiin.
 
Maneno ya waarabu haya
"Sema: Enyi watu! hakika mimi ni mtume wa Allah KWENU NYINYI NYOTE, {Allah} ambaye ni wake yeye tu ufalme wa mbinguni na ardhini, hapana muabudiwa wa haki ila yeye tu anayehuisha na anayefisha, basi muaminini Allah na mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Allah na maneno yake, basi na mfuateni yeye ili mpate kuongoka."

Qu'ran 7:158
 
Kabisa ustadh mtu anaacha muongozo usiokuwa na chembe ya shaka anakimbilia theories za ajabu ajabu ili tu aseme hakuna aliyeumba.

Aaaaaamyn.
 
"Sema: Enyi watu! hakika mimi ni mtume wa Allah KWENU NYINYI NYOTE, {Allah} ambaye ni wake yeye tu ufalme wa mbinguni na ardhini, hapana muabudiwa wa haki ila yeye tu anayehuisha na anayefisha, basi muaminini Allah na mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Allah na maneno yake, basi na mfuateni yeye ili mpate kuongoka."

Qu'ran 7:158
Watakuwa waandishi wa Iran hawa
 
"Kwa hakika sisi tunajua kwamba wanasema yuko mtu anayemfundisha, {lakini} lugha ya huyo wanayemuelekezea {tuhuma} ni ya kiajemi na hii Qur'an ni ya lugha ya kiarabu fasaha yenye kubainisha."

Qur'an 16:103
Mwandishi alikuwa na lengo gani?
 
Tabia nchi na za kitropiki
Nakazia hapa
Lakini pia kiimani ni mapenzi tu ya Mungu
Wanyama
Mimea
Na kila kitu kiko katika jamii ya mfano au utofauti fulani
Mfano maharage hayajawa tu maharage mekundu no yamekuwa kwa aina mbalimbali
Vipi kuhusu chungwa, ndimu limao
Sioni sababu ya kujiuliza kuhusu binadamu kuwa katika jamii chache tulizonazo
 
Kimuundo hatuko sawa mkuu. Waarabu Wana mapua marefu sana. Wazungu Wana vipua virefu vyembamba. Waafrika mapua mapana halafu fupi. Wachina macho yao yamevimba halafu yako mbalimbali sana. Etc.
 
"Sema: Enyi watu! hakika mimi ni mtume wa Allah KWENU NYINYI NYOTE, {Allah} ambaye ni wake yeye tu ufalme wa mbinguni na ardhini, hapana muabudiwa wa haki ila yeye tu anayehuisha na anayefisha, basi muaminini Allah na mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Allah na maneno yake, basi na mfuateni yeye ili mpate kuongoka."

Qu'ran 7:158
Huyo Allah aliyeumba binadamu kwa pande la damu au tone la manii au udongo au maji yatokayo kwenye mbavu na uti wa mgongo. Kwanini hao watu watofautiane?
 
Enyi watu! Hakika sisi tumewaumba kutokana na mwanaume mmoja na mwanamke mmoja na tumewafanya kuwa ni mataifa na makabila ili mfahamiane, hakika aliye mtukufu wenu zaidi mbele za Allah ni aliye mchamungu zaidi katika nyinyi, hakika Allah ni mwenye elimu mwenye khabari {zote}.

Qu'ran 49:13
 
Kimuundo hatuko sawa mkuu. Waarabu Wana mapua marefu sana. Wazungu Wana vipua virefu vyembamba. Waafrika mapua mapana halafu fupi. Wachina macho yao yamevimba halafu yako mbalimbali sana. Etc.
Kisababishi ni nini?
 
Back
Top Bottom