Kitu gani kilichosababisha kuwepo na binadamu wenye rangi tofauti tofauti?

Kwahiyo afadhali tuamini tulikuwa masokwe?

Huo ni uongo tu na nia ya walioleta uongo huo ni kuficha ishara za uumbaji uliofanywa na Mungu.
Theory ya organic evolution inaeleza mambo mengi sana kuanzia molecules, unicellular mpaka complex cell system(multicellular) wewe umejikita tu kwenye sokwe!
 
Hizo zote ni system ambazo Mungu ameziweka ili viumbe hai viweze kujiendesha na kuzaliana vyenyewe, lakini hatua ya kwanza ni Uumbaji wake yeye Mungu.
 
Kabla ya wakoloni (waarabu+wazungu)kuja na tamaduni zao na imani zao; enzi za kina Kinjekitile Ngwale, walikuwa wakiabudu imani ipi?​
"Akasema {fir'auni}: basi ni ipi hali ya karne za kwanza?! akasema {musa}: elimu yake iko kwa mola wangu katika kitabu, mola wangu hapotei wala hasahau, ambaye ameifanya kwaajili yenu ardhi kuwa tandiko, na akakupitishieni humo njia, na akawateremshia maji kutoka mawinguni, na kwa maji hayo tukatoa mimea ya namna mbalimbali."

Qu'ran 20:51-53
 
Bora theory ya organic evolution kuliko huko kwenye vitabu vya dini.
Evolution ni theory ambayo hata mtoto wa darasa la tatu akipewa basics anagundua mapungufu yake kuwa ni makubwa sana.

Na huko kote ni kuhangaika tu kwani ukisema yupo mwanzilishi wa vitu vyote aliyekuwa smart sana na mwenye mipango madhubuti katika viumbe vyake, utapungukiwa na nini? au mnamuonea wivu mola wenu kuwa yeye ndiye aliyeumba kila kitu hata mnaogopa kumtaja?.
 
Na hizo rangi zikaendana na akili.

Mweusi ndio the dumbest of all. Akifuatiwa na Muhindi na Mspanish na Muarabu.

Juu kabisa kuna Mzungu, Mjapan, Mkorea.

Mimi, I wish and pray all night kwamba Mzungu angetusanua tu, kwamba rangi na akili ni LINKED GENES. Zinahamishika pamoja kwa saab ziko kwenye segment moja ya chromosomes.

Ataitwa a rancid and rabid racist. Lakini atakuwa
ametusaidia. Ili tukae tukijua sisi ni natural idiots. Ili tujipange.
 
Hizo zote ni system ambazo Mungu ameziweka ili viumbe hai viweze kujiendesha na kuzaliana vyenyewe, lakini hatua ya kwanza ni Uumbaji wake yeye Mungu.
Evolution ni mchakato wa trial and errors. Kila kitu kilianza na chaos. Hata hii dunia hakitokea tu ikawa shwari ilipita katika nyakati za joto kali na kupigwa na vimondo kiasi cha kutowezekana kukaliwa na binadamu kwa wakati huo. Haiingii akilini mjuzi wa kila kitu atumie mfumo wa kubahatisha bahatisha kama evolution.
 
Evolution ni theory ambayo hata mtoto wa darasa la tatu akipewa basics anagundua mapungufu yake kuwa ni makubwa sana.

Na huko kote ni kuhangaika tu kwani ukisema yupo mwanzilishi wa vitu vyote aliyekuwa smart sana na mwenye mipango madhubuti katika viumbe vyake, utapungukiwa na nini? au mnamuonea wivu mola wenu kuwa yeye ndiye aliyeumba kila kitu hata mnaogopa kumtaja?.

Wewe mtu nae bhana eti namuonea wivu mola.
 
Na hizo rangi zikaendana na akili.

Mweusi ndio the dumbest of all. Akifuatiwa na Muhindi na Mspanish na Muarabu.

Juu kabisa kuna Mzungu, Mjapan, Mkorea.

Mimi, I wish and pray all night kwamba Mzungu angetusanua tu, kwamba rangi na akili ni LINKED GENES. Zinahamishika pamoja kwa saab ziko kwenye segment moja ya chromosomes.

Ataitwa a wanton and rabid racist. Lakini
ingetusaidia. Ili tukae tukijua sisi ni natural idiots. Ili tujipange.

Aisee
 
Kimetoa majibu yapi ya kisayansi kilisaidia kupatikana chanjo ya corona ugunduzi wa magari ndege drone simu etc !??

Hao ni baadhi ya wanasayansi wakubwa waliopata majibu yao kwenye quran na kushangaa iweje mtu asiyejua kusoma wala kuandika ajue mambo yote hayo na mengine yamepata majibu juzi juzi
 
"Akasema {fir'auni}: basi ni ipi hali ya karne za kwanza?! akasema {musa}: elimu yake iko kwa mola wangu katika kitabu, mola wangu hapotei wala hasahau, ambaye ameifanya kwaajili yenu ardhi kuwa tandiko, na akakupitishieni humo njia, na akawateremshia maji kutoka mawinguni, na kwa maji hayo tukatoa mimea ya namna mbalimbali."

Qu'ran 20:51-53
Maneno ya waarabu haya
 
Back
Top Bottom