Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #281
Ni sawa na kiwandani, mpaka upate ile sukari nyeupe kabisa lazima ipitie hatua kadhaaNa hizo rangi zikaendana na akili.
Mweusi ndio the dumbest of all. Akifuatiwa na Muhindi na Mspanish na Muarabu.
Juu kabisa kuna Mzungu, Mjapan, Mkorea.
Mimi, I wish and pray all night kwamba Mzungu angetusanua tu, kwamba rangi na akili ni LINKED GENES. Zinahamishika pamoja kwa saab ziko kwenye segment moja ya chromosomes.
Ataitwa a rancid and rabid racist. Lakini atakuwa
ametusaidia. Ili tukae tukijua sisi ni natural idiots. Ili tujipange.
Ni sawa na kusimuliwa hadithi za sungura na fisi walikuwa marafiki
Hao ni baadhi ya wanasayansi wakubwa waliopata majibu yao kwenye quran na kushangaa iweje mtu asiyejua kusoma wala kuandika ajue mambo yote hayo na mengine yamepata majibu juzi juzi
😀😀😀😀😀Samaki wa kizungu wakija huku afrika inakuaga vipi...?!
Kasheshe pale feli
Genetic mutation and variationKuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika.
Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa.
Sasa ni kitu gani kilicho sababisha kuwepo na huu utofauti?
Evolution ni theory ambayo hata mtoto wa darasa la tatu akipewa basics anagundua mapungufu yake kuwa ni makubwa sana.
Na huko kote ni kuhangaika tu kwani ukisema yupo mwanzilishi wa vitu vyote aliyekuwa smart sana na mwenye mipango madhubuti katika viumbe vyake, utapungukiwa na nini? au mnamuonea wivu mola wenu kuwa yeye ndiye aliyeumba kila kitu hata mnaogopa kumtaja?.
Sasa kupiga miti na wanaume wa kila rangi hao wanaume wa kila rangi walitoka wapi?Tatizo ni hawa alikuwa anapigwa miti na wanaume wa kila rangi na kuzaa watoto wa rangi mbalimbali
Maana sielewi inakuwaje mtu unaanza kutafuta ideologies za uwongo na kweli za marehemu wa kizungu na kigiriki wakati mwenye jambo lake yuko hai milele hafi daima na ameshafafanua mwanzo wetu, ndo nikasema ni wivu unakufanya usideclare interest?!.Wewe mtu nae bhana eti namuonea wivu mola.
"Sema: Enyi watu! hakika mimi ni mtume wa Allah KWENU NYINYI NYOTE, {Allah} ambaye ni wake yeye tu ufalme wa mbinguni na ardhini, hapana muabudiwa wa haki ila yeye tu anayehuisha na anayefisha, basi muaminini Allah na mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Allah na maneno yake, basi na mfuateni yeye ili mpate kuongoka."Maneno ya waarabu haya
Kabisa ustadh mtu anaacha muongozo usiokuwa na chembe ya shaka anakimbilia theories za ajabu ajabu ili tu aseme hakuna aliyeumba.Akina sawima hawataki kujisalimisha kwa Mola Mlezi wa Walimwengu Wote wakakiri Ufalme wake na Uungu wake na wakamuabudu Yeye Peke yake bila ya kumshirikisha na chochote. Wanajua kuwa Yeye ndiye Muumba wa kila kitu lakini wanalikimbia hilo. Wanatafuta pa kushikia ili wakimbie kujisalimisha kwa Muumba wa kila kitu.
Tunamuomba Allah atuthibitishe nyoyo zetu katika Dini yake na atufishe katika Tawheed, Aamiin.
Sijui mkuu uelewa wangu siku zote huwa uko chini mnoSasa kupiga miti na wanaume wa kila rangi hao wanaume wa kila rangi walitoka wapi?
Watakuwa waandishi wa Iran hawa"Sema: Enyi watu! hakika mimi ni mtume wa Allah KWENU NYINYI NYOTE, {Allah} ambaye ni wake yeye tu ufalme wa mbinguni na ardhini, hapana muabudiwa wa haki ila yeye tu anayehuisha na anayefisha, basi muaminini Allah na mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Allah na maneno yake, basi na mfuateni yeye ili mpate kuongoka."
Qu'ran 7:158
"Kwa hakika sisi tunajua kwamba wanasema yuko mtu anayemfundisha, {lakini} lugha ya huyo wanayemuelekezea {tuhuma} ni ya kiajemi na hii Qur'an ni ya lugha ya kiarabu fasaha yenye kubainisha."Watakuwa waandishi wa Iran hawa
Mwandishi alikuwa na lengo gani?"Kwa hakika sisi tunajua kwamba wanasema yuko mtu anayemfundisha, {lakini} lugha ya huyo wanayemuelekezea {tuhuma} ni ya kiajemi na hii Qur'an ni ya lugha ya kiarabu fasaha yenye kubainisha."
Qur'an 16:103
Nakazia hapaTabia nchi na za kitropiki
Huyo Allah aliyeumba binadamu kwa pande la damu au tone la manii au udongo au maji yatokayo kwenye mbavu na uti wa mgongo. Kwanini hao watu watofautiane?"Sema: Enyi watu! hakika mimi ni mtume wa Allah KWENU NYINYI NYOTE, {Allah} ambaye ni wake yeye tu ufalme wa mbinguni na ardhini, hapana muabudiwa wa haki ila yeye tu anayehuisha na anayefisha, basi muaminini Allah na mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Allah na maneno yake, basi na mfuateni yeye ili mpate kuongoka."
Qu'ran 7:158
"......na tumekuteremshia wewe kitabu hiki hali ya kuwa ni chenye kubainisha kila kitu, na ni uongofu na rahma na bishara njema kwa wenye kujisalimisha."Mwandishi alikuwa na lengo gani?
Enyi watu! Hakika sisi tumewaumba kutokana na mwanaume mmoja na mwanamke mmoja na tumewafanya kuwa ni mataifa na makabila ili mfahamiane, hakika aliye mtukufu wenu zaidi mbele za Allah ni aliye mchamungu zaidi katika nyinyi, hakika Allah ni mwenye elimu mwenye khabari {zote}.Huyo Allah aliyeumba binadamu kwa pande la damu au tone la manii au udongo au maji yatokayo kwenye mbavu na uti wa mgongo. Kwanini hao watu watofautiane?
Kisababishi ni nini?Kimuundo hatuko sawa mkuu. Waarabu Wana mapua marefu sana. Wazungu Wana vipua virefu vyembamba. Waafrika mapua mapana halafu fupi. Wachina macho yao yamevimba halafu yako mbalimbali sana. Etc.