Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #301
Hayo ni mawazo ya muarabu katika kujaribu kutawala dunia"......na tumekuteremshia wewe kitabu hiki hali ya kuwa ni chenye kubainisha kila kitu, na ni uongofu na rahma na bishara njema kwa wenye kujisalimisha."
Qu'ran 16:89
Unatakiwa utoke nje ya box kimawazo.Enyi watu! Hakika sisi tumewaumba kutokana na mwanaume mmoja na mwanamke mmoja na tumewafanya kuwa ni mataifa na makabila ili mfahamiane, hakika aliye mtukufu wenu zaidi mbele za Allah ni aliye mchamungu zaidi katika nyinyi, hakika Allah ni mwenye elimu mwenye khabari {zote}.
Qu'ran 49:13
Muongozo umekosekana
Sema: Sikuwa mimi ni wa kwanza miongoni mwa mitume, na wala sijui nitakayofanyiwa mimi wala nyinyi, sifuati isipokuwa tu yale niliyofunuliwa, sikuwa mimi ila ni muonyaji tu mwenye kubainisha.Hayo ni mawazo ya muarabu katika kujaribu kutawala dunia
Mkuu mimi nasoma sana papers mbalimbali dunia hii hakuna majibu sahihi kuhusu mwanadamu na historia na mwanzo na mwisho wake zaidi ya kwenye kitabu hiki, na nikisoma napata ladha kwenye moyo wangu na furaha kwenye maisha, na kila nnavyosoma nazidi kufanikiwa kwenye ninayoyaendea, natamani ungeelewa ninachokisema.Unatakiwa utoke nje ya box kimawazo.
Mkuu mimi nasoma sana papers mbalimbali dunia hii hakuna majibu sahihi kuhusu mwanadamu na historia na mwanzo na mwisho wake zaidi ya kwenye kitabu hiki, na nikisoma napata ladha kwenye moyo wangu na furaha kwenye maisha, na kila nnavyosoma nazidi kufanikiwa kwenye ninayoyaendea, natamani ungeelewa ninachokisema.
Unafahamu hatua za uumbaji zimetajwa kwenye Qur'an karne ngapi kabla ya modern science? unafahamu mwenendo wa anga na vituo vya nyota na sayari vimetajwa humo karne ngapi kabla ya mapinduzi ya astrology?.Pale sayansi iliposhindwa kutoa majibu sahihi, ilitubidi tutafute majibu ya kusadikika, ndio hayo tunayoyasoma kwenye hivyo vitabu, kwa ujumla hakuna ukweli wowote zaidi ya kujifariji kwenye hayo majibu ya kusadikika.
Swali, wewe ulizaliwa au uliumbwa?Unafahamu hatua za uumbaji zimetajwa kwenye Qur'an karne ngapi kabla ya modern science? unafahamu mwenendo wa anga na vituo vya nyota na sayari vimetajwa humo karne ngapi kabla ya mapinduzi ya astrology?.
Lakini si kila kitu kitaelezwa na science maana akili za wanaadamu zina ukomo.
Mimi kama mwanadamu nimezaliwa baada ya kuumbwa katika kizazi kupitia hatua ya pili ya uumbaji ambayo ni kutokana na manii kama ilivyoelezwa hapa:-Swali, wewe ulizaliwa au uliumbwa?
Mimi kama mwanadamu nimezaliwa baada ya kuumbwa katika kizazi kupitia hatua ya pili ya uumbaji ambayo ni kutokana na manii kama ilivyoelezwa hapa:-
"Amekuumbeni kutokana na nafsi moja kisha akamfanyia mke kutokana naye, na akakuleteeni wanyama wa kufugwa aina nane, anakuumbeni katika matumbo ya mama umbo baada ya umbo katika viza vitatu, huyo ndiye Allah mola wenu mlezi, ufalme ni wake, hapana muabudiwa isipokuwa yeye, basi wapi mnageuzwa?."
Qu'ran 39:6
Umemaliza kabisa sababu hii wala hamna nyingine nawaangalia wachina wanaojenga BRT 3 kunaa baadhi yao ngozi imeshabalika na kuvubaa kama sio macho madogo utajua mbongo tu huyu .Tabia nchi na za kitropiki
Kwa hiyo kila mmoja alitengenezwa kwa udongo wake?Kwani kuna aina ngapi za udongo....bila shaka zpo nyingi na zikiwa na rangi tofauti tofauti...
Basi itoshe kusema mwanadamu ni udongo na atarudi kuwa udongo...
Utukufu ni wakwake Allah alie juu....muumba wa kila kitu. Full 🚏 stop
Watu wapo wa aina tatuKuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika.
Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa.
Sasa ni kitu gani kilicho sababisha kuwepo na huu utofauti?
Ndo jibu hilo mkuu.....udongo uliletwa wa aina tofauti tofauti ukapigwa mixture na Adam akatengenzwa..Kwa hiyo kila mmoja alitengenezwa kwa udongo wake?
I surrender my case mkuu.Achana na maandiko ya Iran, anaelemewa na vita huko kwa kuwaaminisha watu mambo ya kusadikika