Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Hao madogo ni wakuja au wazawa?Ndugu yangu niko Ujerumani huku kuna madogo wana miaka 17 wanafanya kazi Sehemu mbili na wanasoma chuo. Wanafunzi foreigners visa yao wanatakiwa kufanya kazi 20 hrs per week. Madogo wa Kijerumani hata wasipofanya kazi serikali inawalipa, ila madogo wanakaza kuliko vijana waliokuja kusoma aisee. Mwanzo mgumu ila ukiamua vitu vitakuwa vilaini.
Wazawa foreigners hawatakiwi kuzidisha 20 hrs per week.Hao madogo ni wakuja au wazawa?
KabisaKuna mzee nafikiri yupo around 60+, huwa nakutana nae asubui saa 11 ana uza maji yale ya madumu.
nasema japo hustle hazina 100+ ya kutoboa, ila lazima nitoke huko kudadadeki.
Utak nawe kuwa boss?Mfano umeajiriwa unatafutaje pesa kwa bidii?
Dogo kumbe kuna muda dish linakaa stable, nitakucheki unipe somo.Kuajiriwa sio gereza kusema una shinda humo siku nzima, no one is busy we just differ in priorities.
uki toka kazini saa 8 au 10 jaribu kupanga hustle zako nyingine, kasome na jifunze kuhusu leverage.
Pamoja haji manara a.k.a nusu albinoDogo kumbe kuna muda dish linakaa stable, nitakucheki unipe somo.
UwekezajiMfano umeajiriwa unatafutaje pesa kwa bidii?
Sawa dogo Rema wa dotto magariPamoja haji manara a.k.a nusu albino
Hizo siku unazo anza kurudi saa 1 asubui ndio mtaji wako, tumia nusu saa au saa 1 utaona cha kufanya.Mkuu mimi natoka kwangu saa10:30 asubuhi narudi saa1 usiku. Kwa siku 7 naanza tena kwenda saa 10:30 jioni narudi saa1 asbh kwa siku7 halafu mapuziko siku saba
Hapo unasafiri siku2 hadi kwako na kurudi kazini siku2 je utafanya kazi gani?
Haina noma babu ayubuSawa dogo Rema wa dotto magari
Nunua mashine ukodishe, fungua salun, bas hata tengeneza vile vibanda vya chuma ukodishe n.kMkuu mimi natoka kwangu saa10:30 asubuhi narudi saa1 usiku. Kwa siku 7 naanza tena kwenda saa 10:30 jioni narudi saa1 asbh kwa siku7 halafu mapuziko siku saba
Hapo unasafiri siku2 hadi kwako na kurudi kazini siku2 je utafanya kazi gani?
Yeah mkuu, zaidi zaidi utajikuta hata nywele kichwani huna, hela haitafutwi labda pengine kama uliipoteza.Hii ni kweli..Ukiitafuta kwa miguvu utachoka sana
Ajira ni mtaji usioisha mkuu, so ukipata chance ya kuajiriwa ni best zaidi...Hivi kuajiriwa na biashara bora nini?
Nikisema biashara namaanisha hizi za chini kabisa mtaji kuanzia 100k hadi 500k
Kiufupi mimi ndio nilishinda bet hii hauwezi kulala ukaamka kunywa maji ndani ya muda mfupi......haya mshindi nipe zawadi yangu au chagu adhabu yakonili lala, nime amka kunywa maji
Mimi ndivyo nilivyo, kila baada ya nusu saaKiufupi mimi ndio nilishinda bet hii hauwezi kulala ukaamka kunywa maji ndani ya muda mfupi......haya mshindi nipe zawadi yangu au chagu adhabu yako
Haya nipe zawadi yangu au chagua adhabu yako.....ungekunywa maji bila kurudi Jf kimya kimya🤣🤣🤣🤣Mimi ndivyo nilivyo, kila baada ya nusu saa