Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

umeshawahi kufikiria kuwekeza kwenye mifugo...... siongelei kuku bata wala uchafu wowote wa miguu miwili..... alafu mwanaume unasemaje unapumzika kujiandaa na job siku inayofuata kwani unakwenda kupasua mawe........ wemgi wetu tumefungwa na aina ya malezi tuliyolelewa huwez sema kuanzia sa 10 jioni mpka sa mbili huwezi angalia kamchongo kako ka pembeni katakakokupa pesa kidogo. akili mzee akiliiiiiiiii
 
safi sana mkuu ww hujalelewa kizembe kabisa
 
Ndugu mwandishi umasikin unadhakilisha umasikin sio kitu Cha kufurahia maana kuitwa ombaomba sio jambo jema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…