Ila ya posta na kkoo kiboko nilikuwa sijawahi shuhudia ya namna ile maana iringa hayapo kabisa.... Pia kingine nilishangaa utumbo wa kuku unaliwa na unauzwa kabisaaaBila shaka umekuja enzi za Mwinyi, siku hizi Tz imejaa magorofa hata chatle kuna gorofa mkuu.
Karibu Buza mkuu hiki ndio chakula chetu.
Mkuu yaani unachowaza na Mimi nakiwaza hicho hichoKuona "mwanaume wa dar" anashindia chips kavu au mahindi ya kuchoma yaliyopakwa limao na pili pili!!
Zamani walikunywa wanaume tu siku hizi sijui wanawake wamegundua nini huko.