Kitu gani kilikushangaza ulipofika Dar kwa mara ya kwanza.

Kitu gani kilikushangaza ulipofika Dar kwa mara ya kwanza.

Cowman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
1,715
Reaction score
3,158
Mimi binafsi nilishangaa kuona watu wanauza hela, lakini nilijiuliza kwanini wanauza coins tu. Siku moja nimepewa tuition fee nikasema leo ngoja ninunue hata za buku, nikapewa mia tisa. Kuuliza wakasema wao wanauza change si hela.

Je wewe ni kitu gani kilikushangaza ulipofika Dar kwa mara ya kwanza.
 
Back
Top Bottom