Kitu gani kilikuwa kinamfanya Magufuli amheshimu Edward Lowassa?

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Ni nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.

Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au aliona kuwa walikuwa wanafik na walioharibu chama. Nini kilimfanya amheshimu Lowassa?
 
Mwingine aliyekuwa hathubutu kumtaja kwa jina ni Tundu Lissu;

Natumaini kabla hajakata roho alipata nafasi ya kutubu uovu aliofanya
 
🤔🤔 Ila ni kweli bana, pamoja na kuwa alikuwa anamsagia kunguni kichini chini kwa kumtisha tisha na pia mwendazake alikuwa ni lopolopo lakini hakuwa akimkandia mzee.

Mi nadhani Lowasa alikuwa upande wa JPM.
 
Ni nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.

Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au aliona kuwa walikuwa wanafik na walioharibu chama. Nini kilimfanya amheshimu Lowassa?
Lowassa hakuwa mtu wa harakati wala tishio la kumng'oa katika utawala wake. Kwa ufupi hakuwa na athari.
 
Ni nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.

Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au aliona kuwa walikuwa wanafik na walioharibu chama. Nini kilimfanya amheshimu Lowassa?

Pesa, Utajiri na Wadhifa wake wa zamani.
 
Uliwahi kumsikia Lowassa akizungumza zaidi ya dakika kumi kwenye kampeni?
Hakuwa na mengi ya kujibiwa naye.
 
2015 aliyechaguliwa na wananchi ni lowassa . aliyetangazwa kuwa rais ni magufuli . na hilo alikuwa akilitambua .

You nailed it, tena ukichangia Lowassa hakuwa anaongeaongea Magufuli akamkaushia. Na alipomtishia kisha akarejea CCM ndio akampotezea mazima.
 
Uliwahi kumsikia Lowassa akizungumza zaidi ya dakika kumi kwenye kampeni?
Hakuwa na mengi ya kujibiwa naye.

Hakika na wala Lowassa hakuwa na makali yoyote. Nakumbuka Lowassa baada ya uchaguzi wa 2015 alianza kupita kushukuru wananchi huko Geita, akiwa sokoni akaagiza akamtwe na mgambo, Lowassa alikuwa anatetemeka kwa woga, si unajua tena vile viongozi wa ccm wanaogopa jela.

Kimsingi Lowassa hakuwa mwanasiasa mfanyasiasa, bali mmwaga pesa kwenye siasa kisha wapambe wanaongea badala yake.
 
Ila Mbowe na genge lake walichemsha sana kumpokea huyo mzee na kumpa nafasi ya kugombea urais. Ni kama waliwapa ccm escape route rahisi ya agenda ya ufisadi. Ni kitendo kile kimepoteza haiba ya cdm juu ya mapambani yao ya ufisadi. Kama tungekuwa na tabia ya uwajibikaji, Mbowe hakupaswa kuendelea tena kuwa mwenyekiti wa cdm kwa blunder ile.
 
Anzisha chama chako mkuu achana na Saccos ya Mbowe!
 
Back
Top Bottom