Kitu gani kilikuwa kinamfanya Magufuli amheshimu Edward Lowassa?

Ni nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.

Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au aliona kuwa walikuwa wanafik na walioharibu chama. Nini kilimfanya amheshimu Lowassa?
Lowassa hana matusi walaufuli vijembe na wakati wa kampeni 2015 hakuwahi kumtusi wala kumdhihaki magufuli , na magufuli alishalisemea hili live
 
Ni nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.

Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au aliona kuwa walikuwa wanafik na walioharibu chama. Nini kilimfanya amheshimu Lowassa?
Ushapata majibu
 
Back
Top Bottom