Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kulinganisha uchaguzi wa serikali ya mitaa mwaka 2009 na ule wa 2014 utajua ukweli wa kulinganisha mwaka 2010 na mwaka 2015Mkuu tind
Ifike mahali tutambue chama chochote cha siasa lengo lake ni kupata uungwaji mkono wa wananchi kupitia sanduku la kura ili kuunda serikali.
Si lengo la chama cha siasa duniani kote, kuwa chama kinachoshabikiwa tu kila uchaguzi unapofika na mwisho wa siku kushindwa kuunda serikali ama kupata wawakilishi kwa idadi kubwa ili kuunda serikali mbadala katika chombo cha wananchi.
Maamuzi ya CHADEMA mwaka 2015 yalikuwa maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Lowasa alikuwa ni USHINDI kwa CHADEMA kama mazingira yangekuwa katika uwanja ulio sawa.
Alikuwa na watu, ushawishi na zaidi ya yote alikuwa na uchumi uliokiwezesha chama hicho cha upinzani katika harakati zake za kushika dola. Kwamba Mbowe na "genge" lake walifanya makosa kutumia turufu ya Lowasa kukibomoa chama na kupoteza maono ya chama katika kile walichokisimamia?...je zilikuwa hesabu za kisiasa sahihi?...kwangu jibu ni ndio.
• Si jambo la ajabu vyama vya siasa au wanasiasa waliohasimiana kuunga na kuunganisha nguvu kushinda ama kuongeza ushawishi wao katika medania za kisiasa. Raila na Uhuru ni mfano mzuri.
• Ni ushabiki tu na upenzi ndio unaotusukuma kusema kwamba bila Lowasa CHADEMA ingepata viti vingi tu na kura zaidi ya walizopata katika uchaguzi ule.
Lowasa alikuwa ni "kura" na kama CHADEMA wangekuwa na msimamo kama wako juu ya Lowasa 2015 chama hicho kisingekuwa na wabunge wala kura walizopata mwaka ule mbali na uwanja wa mchezo kulalia upande mmoja.
Lazima tukubali, hesabu za kisiasa ni muhimu sana kuangaziwa katika vyama vyetu vya siasa. Kufikilia chama kuendelea kutokuwa na mnyumbuliko wa kisera, kiuongozi na kutumia fursa na mazingira mazuri yanapojitokeza yanayoweza kukuhuisha chama, ni vuashiria vibaya vya chama kwenda kuwa "chama cha upinzani kinachounga mkono serikali na chama tawala"
Hii chadme ya kwenye majiji tu ndio iishinde ccm 2015..?2015 aliyechaguliwa na wananchi ni lowassa . aliyetangazwa kuwa rais ni magufuli . na hilo alikuwa akilitambua .
Alimdharau kwa kujiona yeye ni strong enough kuliko Lowassa, akidhiirisha kwa kupiga push upsNi nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.
Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au aliona kuwa walikuwa wanafik na walioharibu chama. Nini kilimfanya amheshimu Lowassa?
Ni kwa vile aliujua ukweli kuwa Kwa kura halali Lowasa alishinda na ndiye alistahili kuwa Rais,yeye alikuwa Rais wa mchongo tuNi nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.
Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au aliona kuwa walikuwa wanafik na walioharibu chama. Nini kilimfanya amheshimu Lowassa?
Siku wakiweka wazi kura halali zilizopigwa utajua kwann Magufuri alikuwa anamheshimu ElNi nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.
Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au aliona kuwa walikuwa wanafik na walioharibu chama. Nini kilimfanya amheshimu Lowassa?
Ile nguvu ya lowassa huwezi jidanganya kuwa hukuiona. Utakuwa unaficha kichwa chini ukidhani huonekani. Lowassa ndiye aliyebeba CDM mwaka 2015. Hilo la wabunge inawezekana walikubaliana but baadaye jamaa wakageuka na hilo huwezi laumu mtu. Dr. Slaa si alikuwa CDM sasa hivi yupo wapi?Dr. Slaa ndio aliyekuwa sahihi, Lowassa alikuja na utapeli kuwa alikuwa aje na wabunge 50 toka ccm kitu ambacho si kweli. Ifahamike cdm ndio chama kilichofanya kazi ya kisiasa kuanzia 2010 baada ya uchaguzi mpaka 2015. Ndio chama kilichofanya mikutano mingi nchini kuliko chama chochote cha siasa ikiwemo ccm. Ndio kilichotoa elimu ya uraia kuliko chama chochote cha siasa. Hayo yote yalifanyika Lowassa akiwa ccm. Kama ni rahisi kupata kura 6m+ ukiwa na miezi miwili kwenye chama, Lowassa angeenda TLP au NCCR kisha apate kura zile. Msitake kumpa Lowassa sifa asiyostahili hata kidogo.
Then push ups hazikuonesha yupo strong kuliko ambaye hakupiga. Maana aliyepiga amefariki ambaye hakupiga yupo hai.Alimdharau kwa kujiona yeye ni strong enough kuliko Lowassa, akidhiirisha kwa kupiga push ups
Hapa anazungumziwa Lowasa mkuu,
Ni kwa vile aliujua ukweli kuwa Kwa kura halali Lowasa alishinda na ndiye alistahili kuwa Rais,yeye alikuwa Rais wa mchongo tu
Kwasababu kwenye uchaguzi wa 2015 Lowassa alimshinda Magu mbali tuNi nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.
Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au aliona kuwa walikuwa wanafik na walioharibu chama. Nini kilimfanya amheshimu Lowassa?
kaka ile ni combination ya huyo mmaasai na muasia na apo kila mtu ana jukumu lake ndio maana, baada ya muasia kuwauzia kijani tv na radio yake akamrudisha mmasai kundini bila tabu mpaka wale waliokua wanamtukana mmasai wakawa wanajichekesha tu akiwemo mwendazakeKing maker ni yule mnyamwezi wa tabora aliyenunua tigo,lowasa hakua na pesa 1995 Wala 2015,Ila hao wenye asili ya Asia ndiyo wakimtumia
wewe haukua CDM na haujui sayansi ya siasa inavyofanya kazi. in politics there no permanent enemy or friend but always a permanent interestsAfadhali wewe umesema ukweli, tukisema sisi mnatuporomoshea matusi. Hiyo kitu ilinifanya niachane kabisa na chadema maana ilikuwa ni unafiki wa hali ya juu.
Kama mlifahamu ujio wake haukuwa mzuri kwenu kwa wakati huo (sababu ya ajenda ya kupinga ufisadi ) na bado Cdm ikampitisha agombee urais, ilionyesha Cdm haikuwa inajua inachokitaka.
Mkuu tind