Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Mwingine aliyekuwa hathubutu kumtaja kwa jina ni Tundu Lissu;Ni nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.
Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au aliona kuwa walikuwa wanafik na walioharibu chama. Nini kilimfanya amheshimu Lowassa?
2015 aliyechaguliwa na wananchi ni lowassa . aliyetangazwa kuwa rais ni magufuli . na hilo alikuwa akilitambua .
Ndo maana akaona aibu kumchafua ovyoPia magufuri alipoingia ikulu akagundua Richmond ilikuwa ya kikwete na Lowasa alichafuliwa tu
Lowassa hakuwa mtu wa harakati wala tishio la kumng'oa katika utawala wake. Kwa ufupi hakuwa na athari.Ni nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.
Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au aliona kuwa walikuwa wanafik na walioharibu chama. Nini kilimfanya amheshimu Lowassa?
Ni nadra sana kumsikia akimzungumzia Lowassa vibaya. Kuna watu ambao inaonekana Magufuli alikuwa anawaheshimu. Na mmoja wapo alikuwa ni Lowassa.
Sifahamu kwa nini. Najiuliza sana kwa jinsi ambavyo Magufuli alikuwa na dharau kwa watu ambao aliona either hawana elimu au uwezo flani kisiasa, au aliona kuwa walikuwa wanafik na walioharibu chama. Nini kilimfanya amheshimu Lowassa?
2015 aliyechaguliwa na wananchi ni lowassa . aliyetangazwa kuwa rais ni magufuli . na hilo alikuwa akilitambua .
Uliwahi kumsikia Lowassa akizungumza zaidi ya dakika kumi kwenye kampeni?
Hakuwa na mengi ya kujibiwa naye.
Anzisha chama chako mkuu achana na Saccos ya Mbowe!Ila Mbowe na genge lake walichemsha sana kumpokea huyo mzee na kumpa nafasi ya kugombea urais. Ni kama waliwapa ccm escape route rahisi ya agenda ya ufisadi. Ni kitendo kile kimepoteza haiba ya cdm juu ya mapambani yao ya ufisadi. Kama tungekuwa na tabia ya uwajibikaji, Mbowe hakupaswa kuendelea tena kuwa mwenyekiti wa cdm kwa blunder ile.