Kitu gani kilikuwa ‘Special’ kutoka kwa Ex wako?

Kitu gani kilikuwa ‘Special’ kutoka kwa Ex wako?

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Ebana nina imani mko salama salmini.

Nimeleta uzi huu hapa nikiwa nina imani wengi wetu tumepitia mahusiano mbalimbali mpaka kuja kufikia hitimisho (ndoa)

Kuvunjika kwa mahusiano haimaanishi kwamba hakukuwa na MAZURI ambayo yamewahi kutendwa na washiriki wa mahusiano hayo.

Je, unakumbuka mazuri gani uliyowahi kutendewa mpenzi wako wa zamani?

Kitu gani kilikuwa kizuri sana ambacho ukikikumbuka unatamani kuyafufua mapenzi yale hata kwa siku moja tu?
 
20220426_182422.jpg
 
Back
Top Bottom