Kitu gani kilikuwa ‘Special’ kutoka kwa Ex wako?

1. K ndogoo ile ukichomoa inalia kama Speedo

2. Wife Material Treatments... Kighetto ghetto lakini Msosi Bufee.

3. Massage hapa naomba nikazie... My wangu alikua anajua sana yaani sanaaa. One day kama utani tu Kigonjwa gonjwa nlikua sijiskii poa akanipea ile Full Body 2 Body Massage Daah!! Ndiyo siku nliona Pepo Fildaus imeshuka duniani.

D Chotara wa Kirangi & Mbulu wewe ndiyo ulitakiwa uwe Wife maana alinijulia sana Mama, sema sisi wanaume sometimes tuna tamaa za kisenge sana.
 
Nimeelewa huku mwishoni bila Shaka ulikiumanisha..🤣
 
1. K ndogoo ile ukichomoa inalia kama Speedo

2. Wife Material Treatments... Kighetto ghetto lakini Msosi Bufee.

3. Massage hapa naomba nikazie... My wangu alikua anajua sana yaani sanaaa. One day kama utani tu Kigonjwa gonjwa nlikua sijiskii poa akanipea ile Full Body 2 Body Massage Daah!! Ndiyo siku nliona Pepo Fildaus imeshuka duniani.

D Chotara wa Kirangi & Mbulu wewe ndiyo ulitakiwa uwe Wife maana alinijulia sana Mama, sema sisi wanaume sometimes tuna tamaa za kisenge sana.
Majuto ni mjukuu[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah!! Yaani ile vibaya vibaya kabisa Manzi alinikuta na Beki 3 wa jirani pale gettho.
Huna shukurani mkuu.. vipi katika kuomba msamaha uliruka kipengele cha kulia..?
 
Mungu ambariki huko alipo, naomba Mungu amjalie apate mke bora. Namkumbuka Kwa mengi mazuri japo kwenye mahusiano misukosuko haikosekani lkn nikikumbuka mazuri yake mabaya yote huwa nayafuta
 
Back
Top Bottom