Kitu gani kilikuwa ‘Special’ kutoka kwa Ex wako?

Kitu gani kilikuwa ‘Special’ kutoka kwa Ex wako?

1. K ndogoo ile ukichomoa inalia kama Speedo

2. Wife Material Treatments... Kighetto ghetto lakini Msosi Bufee.

3. Massage hapa naomba nikazie... My wangu alikua anajua sana yaani sanaaa. One day kama utani tu Kigonjwa gonjwa nlikua sijiskii poa akanipea ile Full Body 2 Body Massage Daah!! Ndiyo siku nliona Pepo Fildaus imeshuka duniani.

D Chotara wa Kirangi & Mbulu wewe ndiyo ulitakiwa uwe Wife maana alinijulia sana Mama, sema sisi wanaume sometimes tuna tamaa za kisenge sana.
Nina imani bado.mnawasiliana😂😂

cv yake nzito sana
 
Mungu ambariki huko alipo, naomba Mungu amjalie apate mke bora. Namkumbuka Kwa mengi mazuri japo kwenye mahusiano misukosuko haikosekani lkn nikikumbuka mazuri yake mabaya yote huwa nayafuta
Mazuri ni pamoja na kupewa hela!
mabaya ni pamoja na kutopewa hela kwa wakati..🙄🙄
 
Bado narekodi voice note, nitawatumia baadae kidogo
 
Ana lips fulani hivi na tabasamu lake so astonishing
 
Wa mideko wanakula hela hatari.

hio gia ya kudeka naiogopa sana[emoji28][emoji28]
Hmn mkuu ni haiba tu zakike ambazo ni adimu kwa madem wetu haw wa kibongo
Dem akijua kudeka Alf mzuri unaenjoy Sana
Wa kwangu alkuwa hat hapend hela Alf mzur
 
Dear ex popote ulipo bila shaka no yangu bado unayo! Unitumie pesa yamatumizi kabla sijakupeleka ustawi wa jamii kwa muda wangu ulonipotezea
😉
Angalau wewe una kauli nzuri mpaka unamuita dear.

cheki mwenzako anaomba matumizi kama anarusha mabomu
FB_IMG_1651169820271.jpg
FB_IMG_1651169827221.jpg
 
Eheee Mzee tukupe story zetu wakati ww zako unaficha? Funguka wewe afu sisi ndo tutililike
Ex wangu alikua haniombi hela wala kunisumbua hovyo

najuta sana kwann sikuoa yule binti. Dah najut sana
 
Alikuwa na mbususu mnato,ya moto,ananinyonya Koni na mauno kama yote.Mtoto Bado nammiss jamanii...Sema yupo na mwamba mwingine ndio basi Tena siwezi kuwa naye
 
Back
Top Bottom