Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
😂😂😂😂Hapo sasaEheee Mzee tukupe story zetu wakati ww zako unaficha? Funguka wewe afu sisi ndo tutililike
Huyu dgo anataka kutublackmail nn? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sasa
Eeh [emoji15][emoji3064][emoji15][emoji3064][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dear ex popote ulipo bila shaka no yangu bado unayo! Unitumie pesa yamatumizi na ta kula kabla sijakupeleka ustawi wa jamii kwa muda wangu ulonipotezea
[emoji6]
Muda upi tena, si tulishamalizana we mwanamama.Dear ex popote ulipo bila shaka no yangu bado unayo! Unitumie pesa yamatumizi kabla sijakupeleka ustawi wa jamii kwa muda wangu ulonipotezea
[emoji6]
Jiefu bana😂😂 utadhani ni kweli dahMuda upi tena, si tulishamalizana we mwanamama.