Kitu gani kilisababisha usijiunge na UDSM?

Miaka ya nyuma nazungumzia 2013 kurudi nyuma Udsm ilikua ni 3years except saut mwanza wao walikua wanasoma 4years vyuo kama Tumain wenyewe walikua wanasoma 3years

hope Kuna mabadiliko yamefanyika ndio nimejua Leo. Dunia ni dynamic na sio static

Upo sahihi kuhusu UDSM.
 

"Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania"

☝️🤣
 

watakupinga ila ndo uhalisia UDSM si chaguo la kila mtu ila kuna wanaoona wamefika pale, labda niongeze nyama kidogo

1. AFYA
-MUHAS

2. ENGINEERING
-Arusha tech
-DIT

3. UALIMU
-Mzumbe
-Udom

4. SHERIA
-UDSM
 
LAW mliman haijawahi kusomwa chini ya miaka mi3 mkuu hapo unatupanga tu
 
Ungeapply tena mwaka uliofuata
 
Nimesoma nao watu wa Tabora boys pale UDOM ni wako partial mpaka leo nashangaa are those guys from gauging school?

Yeah! I Know😂

​
Hizo shule zilikuwa zamani! Lakini saivi hamna kitu, You Know 😂 Utafikiri chuo cha MLIMANI 🤣 Wale bila kukaguliwa jichoni bado hawajagraduate 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…