Kitu gani kilisababisha usijiunge na UDSM?

Wenye uchungu kwa kusoma nje ya UDSM utawajua tu..!!

ila alichosema ni kweli,

kozi ambazo ni dili kwa udsm ni chache sana , ambazo zinapatikana COET, CONAS na UDBS na MBEYA kule college of health ya udsm. nje ya hapo unaenda kupoteza muda tu.

ukweli ni kwamba hakuna sababu ya kwenda udsm kama unaenda kusoma kozi tofauti na za hizo college
 
Degree ya UDSM hauhitaji kwenda VETA eti?
 
Nyuma ya hizo emoji zako za vicheko kuna kilio kikubwa. Anyway, you will be fine...
 

Mistari miwili ya mwisho imekaa kiwivu wivu sana ๐Ÿ˜‚
 
Nilicho kuja kugundua yaan ili uwe Bora Zaidi ni wewe mwenyewe kua Bora Zaid na zaidi.

Nidhamu, kujituma,kufanya kazi kwa bidii bila kusahau kumtanguliza mwenyezi Mungu.

Hili Hali husiani na chuo maana course yoyote mfano law inasomwa miaka mi 4 SAUT WAKATI mzumbe,udsm, udom, Tumain ni miaka mi 3 na masomo ni Yale Yale.
Hakuna chuo bora Ila kuna MTU bora ndani ya chuo .
 
Kuna nyumbu mmoja mimi nilienda udom yeye udsm akanicheka nipo chuo cha kata , now yupo huko karatu anapanda
ma cruza kwenda job na anakunywa vumbi la kutosha๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ni mtumishi wa umma? Karatu ndo inaongoza Afrika mashariki, kati na kusini kwa vumbi la hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ