The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Shida aisee,GreatThinkers
Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.
Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 yrs..mvi kila mahali.shida ni nini?
Imekuwaje maana ni hatari
Vijana wanabeba mambo mazito kichwaniImekuwaje maana ni hatari
Kweli ndio maana amesema 'Great Thinkers'•Stress
•Kurithi
•Kemikali
•Kuzama chumvini🤣
40 ni mingi sana wengi siku hizi kuanzia miaka 28 mvi wanazo, wenye umri zaidi ya 35 bila haswa kwa mjini ni wachache.GreatThinkers
Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.
Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
PunyetoGreatThinkers
Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.
Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
Uchovu wa CCM tu.GreatThinkers
Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.
Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
Kurithi,GreatThinkers
Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.
Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
Hahaha hiyo ya kuzama chumvini mzee mbona unatutisha•Stress
•Kurithi
•Kemikali
•Kuzama chumvini🤣
Mkuu hiyo yamwisho inabidi niifanyie utafiti•Stress
•Kurithi
•Kemikali
•Kuzama chumvini[emoji1787]
Mabadiliko ya tabia nchi!GreatThinkers