Kitu gani kimepelekea vijana wa kileo kuota Mvi Mapema?

Kitu gani kimepelekea vijana wa kileo kuota Mvi Mapema?

Sababu kubwa ni ngono ,ngono husanabusha kupoteza kiasi kikubwa Cha madini ya zinc Kwa wanaume,madini ya zinc ni kiambata muhimu sana kinachohusika kwenye uimarishaji wa kinga ya mwanamume.ukichunguza sana utakufa wanawake wa Rika Hilo hawana hizo mvi.kwa hyo kama unafanya ngono sana tafuta namna ya kureplace zinc unayoipoteza.kwa namna nyingine kama hizo mvi zinakuja mapema upo prone kuwa na magonjwa ya;
Cancer;
HIV
Sukar
Au kinga yako ni dhaifu
Mbona hata Ke wanazo, wadada niliosoma nao wengi wana mvi, actually tukikutana huwa tunashangaana tu coz kama sio mvi basi ni upara.
 
Ujenzi,English medium kwa watoto wetu,gari ya kutembelea + Wife mpiga kinanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimeota mapeeema sana kwangu pia
 
Ujenzi,English medium kwa watoto wetu,gari ya kutembelea + Wife mpiga kinanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimeota mapeeema sana kwangu pia
Hawa wanawake watatuuwa jaman wana gumu jaman dah..
 
Daah, kwa umri wangu mdogo huu wa 30+ Mvi zimeshaanza kuota kichwani na kwenye kidevu... Sababu zangu

1. Gene
2. Pombe
3. Kutokupumzika (uchovu)
Pombe Ina mchango gani kwenye maishayako?😀kias ukubali ikutoe mvi
 
Ni ma Great Thinkers. Wanafikiri sana.
Watakupuuza kwa hili Jibu lako au huenda hata nawe pia ukawa Umendika Kinafiki au Kufurahisha tu Jukwaa ila Kisaikolojia ulichokiandika hapa ndiyo sahihi 100%
 
GreatThinkers

Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.

Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
Mchafuko wa hali ya hewa vyakula seli kuchoka fasta na viashiri kansa
 
Kushiriki mapezi na watu tofauti tofauti hasa walio wazidi umri ,inasemekana ndio chanzo.
 
Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
Ugonjwa hio wa kupoteza melanin mwilini huwapata vijana wadogo hata vijana wa makamo wengine huwapata mpaka kwenye ngozi kabisa ngozi nyeusi inatafunwa inaondoka inabaki ngozi ya ndani yaan ile nyeusi inaondoka, kwa ni kupoteza melanin mwilini
 
Back
Top Bottom