Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GreatThinkers
Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.
Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
Kwa hiyo wewe unafikiri ni sifa?Kuna shida yoyote? Nywele zangu zote ni nyeupe niko under 40
Mbona hii lugha siyo ya form one wa mwaka 1990?Swali hili limenilenga mimi, kiukweli mvi niliota mapema sana, naingia form one 1990 nilionyeshwa kuwa Kuna mvi kichwani mwangu sikuamini, nilimwambia aingoe nione dah ilinikera Sana
Sasahvi simetapakaa karibu kichwa kizima naitwa babu[emoji3][emoji3] ni mwendo wa super black tu
Huko nyuma niliambiwa nimeridhi toka ujombani maana wao ni kama mzee wa Minduli.
Mvi mapema zinazua maswali mengi Sana bila majibu japo wengi wanasema ni DNA, kufikiri Sana nk
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Hivi huwaga watu wa form one wa 1990 wanaandika aje?Mbona hii lugha siyo ya form one wa mwaka 1990?
Hivi huwa mnaona utamu gani kuandika vitu vya uongo?
Fafanua kidogo Dr.Sababu kubwa ni ngono ,ngono husanabusha kupoteza kiasi kikubwa Cha madini ya zinc Kwa wanaume,madini ya zinc ni kiambata muhimu sana kinachohusika kwenye uimarishaji wa kinga ya mwanamume.ukichunguza sana utakufa wanawake wa Rika Hilo hawana hizo mvi.kwa hyo kama unafanya ngono sana tafuta namna ya kureplace zinc unayoipoteza.kwa namna nyingine kama hizo mvi zinakuja mapema upo prone kuwa na magonjwa ya;
Cancer;
HIV
Sukar
Au kinga yako ni dhaifu
unaposema kila mahali unamaanisha nini 🤣 🤣GreatThinkers
Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.
Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
Lugha.Hivi huwaga watu wa form one wa 1990 wanaandika aje?
Sasa Kuna watu ni baba zako wanaandika herufi kama "Xana,Asante,pw,bc nkLugha.
Mimi kwa mfano, siwezi kutumia lugha ya watoto waliozaliwa mwaka 2000.
Maneno kama ela, atua, ali sio nzuri nk.
Hivyo hivyo ulivyoelewaunaposema kila mahali unamaanisha nini 🤣 🤣
Alafu tumeweke nani?Suluhisho ni katiba mpya tu na kumuondoa Hangaya madarakani
Sio kweli.Sasa Kuna watu ni baba zako wanaandika herufi kama "Xana,Asante,pw,bc nk
Kwa hiyo wewe unafikiri ni sifa?
Wazee wa hovyo hapo mjini daslamu wapo wengi, utandawazi umewazidi mkuuSio kweli.
Baba zangu wote walishafariki dunia.
Amebakia baba mdogo mmoja tu wa nyumba ndogo ya babu, ambaye hawezi kuandika kwa sababu ya uzee.