Kitu gani kimepelekea vijana wa kileo kuota Mvi Mapema?

Mbona hata Ke wanazo, wadada niliosoma nao wengi wana mvi, actually tukikutana huwa tunashangaana tu coz kama sio mvi basi ni upara.
 
Ujenzi,English medium kwa watoto wetu,gari ya kutembelea + Wife mpiga kinanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimeota mapeeema sana kwangu pia
 
Ujenzi,English medium kwa watoto wetu,gari ya kutembelea + Wife mpiga kinanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimeota mapeeema sana kwangu pia
Hawa wanawake watatuuwa jaman wana gumu jaman dah..
 
Daah, kwa umri wangu mdogo huu wa 30+ Mvi zimeshaanza kuota kichwani na kwenye kidevu... Sababu zangu

1. Gene
2. Pombe
3. Kutokupumzika (uchovu)
Pombe Ina mchango gani kwenye maishayako?😀kias ukubali ikutoe mvi
 
Ni ma Great Thinkers. Wanafikiri sana.
Watakupuuza kwa hili Jibu lako au huenda hata nawe pia ukawa Umendika Kinafiki au Kufurahisha tu Jukwaa ila Kisaikolojia ulichokiandika hapa ndiyo sahihi 100%
 
GreatThinkers

Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.

Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
Mchafuko wa hali ya hewa vyakula seli kuchoka fasta na viashiri kansa
 
Kushiriki mapezi na watu tofauti tofauti hasa walio wazidi umri ,inasemekana ndio chanzo.
 
Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
Ugonjwa hio wa kupoteza melanin mwilini huwapata vijana wadogo hata vijana wa makamo wengine huwapata mpaka kwenye ngozi kabisa ngozi nyeusi inatafunwa inaondoka inabaki ngozi ya ndani yaan ile nyeusi inaondoka, kwa ni kupoteza melanin mwilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…