Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
Kama nilivyoanza hapo juu kuuliza kuna kitu gani kinaendelea ndani ya bar za Dar es Salaam.
Mmimi sio mtu wa maji ila napenda kujichanganya na wana siku moja moja kutazama EPL na wana huku tukipata maji na kutoa lock si unajua bhana maji ya baba ni mazuri kwa afya ya kiumbe hai yoyote yule.
Jambo ambalo linanishangaza na nakosa majibu. mara nyingi kila nikienda bar nakuta wahudumu wanabadilika.
Yani kila baada ya miezi mitatu au minne nakutana na wahudumu wapya nikijaribu labda kuwauliza yule fulani yupo wapi majibu wanayonipa kuwa hawajui alipo au kaacha kazi.
Sasa wajuzi ebu naomba munijuze nini kinaendeleaga kwenye bar za hapa Dar es Salaam mpaka wafanyakazi wahudumu wa kike hawadumu sana bar.