Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Hivi ni kitu gani ambacho kinacho pelekea hawa watu kutoka mashariki mwa Asia wachina, wajapan, wakorea kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyengine zote duniani ?
Nini ?Mchina huyu huyu anae copy na kupaste
Kwamba sisi jamii zengine zote duniani tuliobaki hutuweki nia na juhudi ?Ukweli ni kwamba hao watu si kwamba wana uwezo wa akili kushinda jamii nyingine duniani bali wanatia nia na juhudi katika mambo wanayoyafanya...
Copy and paste ni kipaji huko kusoma tu ni kucopy na kupaste...Mchina huyu huyu anae copy na kupaste
Tafiti mbalimbali za kimataifa zinakataa statement yako.Wazungu ndio brain ya dunia na wayahudi,hao wengine ni wenzetu ni vile wao wameenda extra mile kidogo katika kuchapa kazi na kukopy na kupaste teknolojia.
kitu cha kwanza, wanakula sana vyakula vinavyoboresha ubongo wakati wa ukuaji, sea food. pili, wanasisitiza sana watoto wao wasome na wanajali sana elimu. korea kusini kwa mfano, vifo vingi vya kujirusha gorofani vinatokana na wanafunzi ambao hawajafaulu mitihani. kitu kingine, ni kuzaa watoto wachache unaoweza kuwatunza na kuwapa mahitaji yote kuanzia chakula, shule za awali hadi vyuo vikuu, kingine ni mifumo yao ya elimu, mtu anasoma kile anachoenda kukifanya na miundombinu inawasapoti. pia, wanatumia sana suppliments. hata hapa kwetu tungekuwa hivyo watu wangetuona kuwa tuna akili nyingi.Hivi ni kitu gani ambacho kinacho pelekea hawa watu kutoka mashariki mwa Asia wachina, wajapan, wakorea kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyengine zote duniani ?
Hii ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hivyo nilikuwa nauliza ni kitu gani kinacho pelekea hawa watu kutuzidi sisi wengine wote.
Duuh! So hivyo vyakula ndio vinaongeza akili kwao ?Wanakula kaa,vyura,nyoka.jaribu
Kama kukop na ku paste sio akili jaribu wewe bro.Mchina huyu huyu anae copy na kupaste
Kwamba sisi jamii zengine zote duniani tuliobaki hutuweki nia na juhudi ?
umenifurahisha hapo, umeongea point nzuri, makuzi, vile unavyomkuza mtoto ndivyo anavyokuja kuwa. mfano, waarabu namna wanavyowakuza watoto wao mlengo wao wote unakuwa kwenye dini hata elimu kwao ni mbadala tu, ndio maana hawajawahi kutoa invention yeyote duniani. hata mafuta ni Mungu tuamewawekea wachote.Siri kubwa ya hao jamaa iko kwenye mambo matatu tu.
1. Juhudi (wanapambana mnoo kufanya kila kitu kinachowahusu katika maisha yao pasipo kuchoka)
2. Nidhamu (kwenye muda, kazi, maisha ya kila siku)
3. Makuzi (wako makini mnoo kukuza watoto wao katika njia za kimaisha, kielimu na kitamaduni watakayopaswa kuja kuishi siku zote)
Jamii yoyote ile iliyojikita kwenye hiyo mitazamo mitatu itaonekana kuwa na akili na maarifa makubwa. Fanya hivyo wewe na familia yako, baada ya miaka kumi tu watu watakuja kuhadithia namna mlivyo na akili na maarifa au kufanikiwa.