Kitu gani kinafanya watu wa Asia Mashariki (Wachina, Wajapan, Wakorea) kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyingine zote duniani?

Smartphone 50 ya aje hyo dingii
 
Aina ya vyakula Bora wanavyokula ambayo wewe kwa kudanganywa na waarabu unaviitabharamu.

🔷 Nguruwe

🔷 Nyoka

🔷Mbwa

🔷Vyura

🔷 Wadudu mbalimbali na vyakula vya baharini
 
Mhm
 
Utamaduni, malezi....
 
Wanaupinga ukoloni kwa vitendo
Hawajapokea dini za kutumwa.
Kwa maana hiyo wapo huru kufikiri.
Ndio maana hadi wana maandishi yao.
Kama hujui ulipotoka, huwezi jua unapokwenda.
N:B
Hawana mikataba ya DP WORLD
 
Tatizo linaanzia juu, imagine makonda anateuliwa tena kuwa kuwa katibu mwenezi wa chama kilichopo madarakani unategemea upate watu wenye akili nchi hii[emoji16]
 
M
Wazungu ndio brain ya dunia na wayahudi,hao wengine ni wenzetu ni vile wao wameenda extra mile kidogo katika kuchapa kazi na kukopy na kupaste teknolojia.

Mkuu sio kweli, wagunduzi wa kwanza kabisa ni waafrika. Fuatilia historia vizuri.
 
Umeongea suala ambalo kuna mserbia aliwahi kuniambia. Inawezekana ni kweli kabisa. Alinambia gunduzi nyingi tunazoziona si akili ya kibinadamu. Yule mtasha ni symbologist alikua. Ana mambo na maelezo ya ajabu sana mpaka nikawa namuogopa sana.
 
Mkuu nadhani hii SGR ya kwetu ilitakiwa kipande Cha moro - Dodoma tukijenge wenyewe maana tushajifunza kwa kipande cha dar - moro
 
Mkuu nadhani hii SGR ya kwetu ilitakiwa kipande Cha moro - Dodoma tukijenge wenyewe maana tushajifunza kwa kipande cha dar - moro
😅😅Tungekuwa na uwezo huo hakika tungekuwa mbali..

Hawa wenzetu kwa kuiba teknolojia fasta .
 
Mwenye akili kubwa ni mzungu. Wengine wanafuata
 
Nimekubaliana na ulichoandika mtaalamu na pia umenichekesha hapo tunapogombaniana samaki mmoja na watoto...Hong Kong wale Wananchi wana akili sana niliwahi kutana na mtoto mdogo ana miaka 13 alinipa ramani ya treni mimi nilikua sina na niliuliza kufika Shamshuipoo nafikaje enzi hizo nikiwa fresh fresh mtoto nilipomuomba anielekeze abiria wengi wapo busy alisimama kwa Confidence harafu akatoa simu na Ramani akanielekeza akaniachia ramani mimi nikaendelea na safari yangu kwa yale maelezo sikupotea nikasema aisee wenzetu wapo mbali sana umri huu ni kama naongea na mtu mzima wakati hapa mtoto wa kidato cha tano nampeleka shule huko Tanga au Kilimanjaro...
 
Sifa ya kwanza ya Akili ni Utawala.

Kama jamii haijawahi kuongoza na kutawala Dunia huwezi kuihesabu kama jamii yenye Akili.
Wazungu na jamii zao ndio wenye Akili
 
wajapan walihamasishana chini ya meiji revolution 1868+ hali iliyopelekea mapinduzi makubwa ya kiviwanda,imagine unatumwa ukasome kwa niaba ya japan na unaambiwa kama ni kuiba mbinu(technology) fanya juu chini kwaajili ya japan,huyu mtu ni tofauti sana na dogo anayesubiria mkopo akale bata na kuwaza kuwa chawa ili avizie teuzi.
 
Wana akili kwa sababu hawachagui vyakula nyoka , mbwa, konokono ndo viumbe vyenye akili
 
Ni watu wachache wameweza jibu swali langu, wengi wanaandika maelezo yaliyo nje na swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…