Kitu gani kinakufanya ukatae ndoa

Kitu gani kinakufanya ukatae ndoa

Hii thread ni especially Kwa wale kataa ndoa ..ndoa ni jambo jema sana hua nashangaa sana nkiona mtu anasema hataki kuoa kuolewa naamin zipo sababu Kwa Kila mtu zinazomfanya akatae ndoa .....tiririkeni ni sababu zipi zinawafanya mkatae ndoa
kusalitiwa, kutunza mwanamke ambaye hana time nawe akiamua kufanya ushenzi anafanya bila hofu
 
Hizi ndio sababu.
1) Wanawake wana past za kuwa na wanaume lukuki kimahusiano. EX HATONGOZWI

2) Wanawake wanaingia kwenye ndoa kwasababu ya Kitu na sio upendo.

3) Wanawake wanachepuka sana kwenye ndoa zao.

4) Ubinafsi wa wanawake (Chake chake, changu Chetu).

5) Wanawake wamekuwa wagumu kuvumilia shida. Mwanaume ukiyumba kiuchumi tegemea kupata Dharau za kutosha kwa wife

6) Sheria ya ndoa inatukandamiza wanaume. Ukiachana na Mwanamke mnagawana pasu kwa pasu.

Nyengine wataziandika Wakuu

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hii thread ni especially Kwa wale kataa ndoa ..ndoa ni jambo jema sana hua nashangaa sana nkiona mtu anasema hataki kuoa kuolewa naamin zipo sababu Kwa Kila mtu zinazomfanya akatae ndoa .....tiririkeni ni sababu zipi zinawafanya mkatae ndoa
1. Sheria ya ndoa inatukandamiza wanaume
2. Mmong'onyoko wa maadili kwa wakina dada wa current generation.
3. Ugumu wa maisha.
 
Hii thread ni especially Kwa wale kataa ndoa ..ndoa ni jambo jema sana hua nashangaa sana nkiona mtu anasema hataki kuoa kuolewa naamin zipo sababu Kwa Kila mtu zinazomfanya akatae ndoa .....tiririkeni ni sababu zipi zinawafanya mkatae ndoa
Kukosekana kwa Kazi & kipato ni kikwazo kwa 75% ya vijana

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hii thread ni especially Kwa wale kataa ndoa ..ndoa ni jambo jema sana hua nashangaa sana nkiona mtu anasema hataki kuoa kuolewa naamin zipo sababu Kwa Kila mtu zinazomfanya akatae ndoa .....tiririkeni ni sababu zipi zinawafanya mkatae ndoa
Kuna mambo ya msingi kujiuliza kwa ulimwengu wa leo,
1. Unachukua kiumbe ambaye ameliwa weeee mpaka anajua saisi zooote za mboo, na bado unalipa mahari (hela yako inaondoka)

2. Akifika tu, anaanza kutumia hela zako tena kwa kulindwa na sheria kabisa, kwamba usipo mpa pesa ya kutumia (chakula, mavazi, malazi nk) anaweza kuuza kakiwanja kako uliko katafuta kwa jasho haswaaa!

3. Usiporidhika n'a tabia zake za baada ya kufunga ndoa, (maana kabla ya ndoa wanakuwa vere sabmisivu), ukamtaka arudi kwao, mnagawana vya kwako, wakati vya kwake hata haviguswi!

Kwa ujinga huo si bora waendelee kuliwa tu, n'a kila mmoja akomae kujiandalia uzee wake? Ya nini kukaribisha na kujitia kitanzi na mtu ambaye hujui hatma ya tabia yake kama itakuwa favorable kwako au itakuwa majuto!

Tukulane kupunguza nyege, then kila mmoja aishi maisha yakeeee
 
Mm nakataa ndoa maana nilichokuwa nakitaka nimeshakipata (mtoto) .

Mama yake nilimtoa sadaka akaolewa uko akaniachia zawadi ya mtt ss kijana anakuwa tu na baba cfikirii kuoaa mpk kufaa nshapata mrithi huyu mmoja anatoshaa...

Kataa NDOA kijana ,ila kuwa na mtt muhmu....
 
Sijawahi ona uzi wa mabachela wakililia ndoa pale em em yuu ila sasa wazee wa happily merred kila kukicha malalamiko

Sasa cha kufia nini

#kataa ndoa bwege wewe

😂😂😂
 
Hizi ndio sababu.
1) Wanawake wana past za kuwa na wanaume lukuki kimahusiano. EX HATONGOZWI

2) Wanawake wanaingia kwenye ndoa kwasababu ya Kitu na sio upendo.

3) Wanawake wanachepuka sana kwenye ndoa zao.

4) Ubinafsi wa wanawake (Chake chake, changu Chetu).

5) Wanawake wamekuwa wagumu kuvumilia shida. Mwanaume ukiyumba kiuchumi tegemea kupata Dharau za kutosha kwa wife

6) Sheria ya ndoa inatukandamiza wanaume. Ukiachana na Mwanamke mnagawana pasu kwa pasu.

Nyengine wataziandika Wakuu

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Sababu zinatisha
 
Back
Top Bottom