Hizi ndio sababu.
1) Wanawake wana past za kuwa na wanaume lukuki kimahusiano. EX HATONGOZWI
2) Wanawake wanaingia kwenye ndoa kwasababu ya Kitu na sio upendo.
3) Wanawake wanachepuka sana kwenye ndoa zao.
4) Ubinafsi wa wanawake (Chake chake, changu Chetu).
5) Wanawake wamekuwa wagumu kuvumilia shida. Mwanaume ukiyumba kiuchumi tegemea kupata Dharau za kutosha kwa wife
6) Sheria ya ndoa inatukandamiza wanaume. Ukiachana na Mwanamke mnagawana pasu kwa pasu.
Nyengine wataziandika Wakuu
KaziKweliKweli/JobTrueTrue