Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
kusalitiwa, kutunza mwanamke ambaye hana time nawe akiamua kufanya ushenzi anafanya bila hofuHii thread ni especially Kwa wale kataa ndoa ..ndoa ni jambo jema sana hua nashangaa sana nkiona mtu anasema hataki kuoa kuolewa naamin zipo sababu Kwa Kila mtu zinazomfanya akatae ndoa .....tiririkeni ni sababu zipi zinawafanya mkatae ndoa
1. Sheria ya ndoa inatukandamiza wanaumeHii thread ni especially Kwa wale kataa ndoa ..ndoa ni jambo jema sana hua nashangaa sana nkiona mtu anasema hataki kuoa kuolewa naamin zipo sababu Kwa Kila mtu zinazomfanya akatae ndoa .....tiririkeni ni sababu zipi zinawafanya mkatae ndoa
Kukosekana kwa Kazi & kipato ni kikwazo kwa 75% ya vijanaHii thread ni especially Kwa wale kataa ndoa ..ndoa ni jambo jema sana hua nashangaa sana nkiona mtu anasema hataki kuoa kuolewa naamin zipo sababu Kwa Kila mtu zinazomfanya akatae ndoa .....tiririkeni ni sababu zipi zinawafanya mkatae ndoa
Unakaa mkoa gani Mkuu, maana huku Daslam bila ya Ac mambo hayaendi.Baridi yote hii Kuna mtu hapendi ndoa ?
Kuna mambo ya msingi kujiuliza kwa ulimwengu wa leo,Hii thread ni especially Kwa wale kataa ndoa ..ndoa ni jambo jema sana hua nashangaa sana nkiona mtu anasema hataki kuoa kuolewa naamin zipo sababu Kwa Kila mtu zinazomfanya akatae ndoa .....tiririkeni ni sababu zipi zinawafanya mkatae ndoa
Kuepuka hii tafuta mwanamke mwenye hofu ya Mungu uenjoy mema ya nchikusalitiwa, kutunza mwanamke ambaye hana time nawe akiamua kufanya ushenzi anafanya bila hofu
Sababu zinatishaHizi ndio sababu.
1) Wanawake wana past za kuwa na wanaume lukuki kimahusiano. EX HATONGOZWI
2) Wanawake wanaingia kwenye ndoa kwasababu ya Kitu na sio upendo.
3) Wanawake wanachepuka sana kwenye ndoa zao.
4) Ubinafsi wa wanawake (Chake chake, changu Chetu).
5) Wanawake wamekuwa wagumu kuvumilia shida. Mwanaume ukiyumba kiuchumi tegemea kupata Dharau za kutosha kwa wife
6) Sheria ya ndoa inatukandamiza wanaume. Ukiachana na Mwanamke mnagawana pasu kwa pasu.
Nyengine wataziandika Wakuu
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Waite aiseeeNikusaidie kuwaita๐๐
Mkuu hapa unaweza tafuta mwanamke mkaanza wote chini mkasaka woteKukosekana kwa Kazi & kipato ni kikwazo kwa 75% ya vijana
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app