Kitu gani kinakufanya ukatae ndoa

Kukosekana kwa Kazi & kipato ni kikwazo kwa 75% ya vijana

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
kabisa chief ugumu wa maisha ndio sababu kubwa inayosababishwa na ukosefu wa ajira zakueleweka...hata waliojiajiri wengi wao ni ungaunga tu hawapati kipato cha kukidhi mahitaji hata kwa 65%...sijui kuhusu nchi nyingi ila kuna nchi kama korea kusini na japan raia wengi hawataki kabisa maswala ya ndoa na sababu kubwa wadai ni ugumu wa maisha pia!
 
Mkuuu Kuna age itafika miaka 60 huko na kuendelea utahitaj kukaa na Mtu wa kukuliwaza
 
Hujapata mwanamke akakukonga moyo Mkuu..ukimpata lazima utafkiria kumuoa Ili usimpoteze
 
Una uhakika kuwa ukioa mtazeeka pamoja Mkuu.?

MAMBO MENGINE NI IMAGINATIONS TU, NA SIO UHALISIA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mkuu lazima uishi Kwa positive mind set ubaya ushajiwekea negative mindset kuhusu ndoa...ila yote yanawezekana
 
Hiyo no 2 ni janga la kitaifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujapata mwanamke akakukonga moyo Mkuu..ukimpata lazima utafkiria kumuoa Ili usimpoteze
Tulishatokaa uko Kwenye kukongwa moyo nikiwa na miaka 23_25 ndio biashara ya mapenzi iliisha kwangu mkuu..
 
Mwanamke a
Una uhakika kuwa ukioa mtazeeka pamoja Mkuu.?

MAMBO MENGINE NI IMAGINATIONS TU, NA SIO UHALISIA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Binti akikwambia msishiriki ngono kabla ya ndoa utakubali?
 
Maisha ya sasa independent woman ni kigezo kikubwa maana huyo akisema anakupenda anamaaanisha cha msingi awe na hekima na busara. Otherwise hawa wengine wanakuja kwenye maokoto tu.
 
Kuepuka hii tafuta mwanamke mwenye hofu ya Mungu uenjoy mema ya nchi
Kumjua sasa huyo wa kanisa na wa kijana devil ndipo shughuli maana viumbe hawa wanatuzo ya uigizaji...
 
Epuka vijiwe vya chaputa ufanikiwe kwenye maisha
 
Wanawake ni wabinafsi sana....wachoyo.Akipata kidogo tu zaidi ys mme dharau zinaanza kwa mbali.Wanawake wengi kwenye ndoa bahili wa papuchi na wengine wanaotoa, wanatoa kwa ajili ya kuepuka kero tu..na si upendo ama hisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…