masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Ile kitu haiitaji kanuni nyingi sana na complication ni popote na saa yoyote kwa wale wenye wake zao na wanaishi bado hawana mtoto, lakini pia kwa wapenzi wanaotembeleana au kwenda sehemu kwa ajili ya hilo tu.
Kipi kinakukera mpenziwe anavyofanya au kusema wakati wewe akili yako imefunga mafaili yote lililopo ni moja tu juu ya meza, kula maraha unakuta mnataka tu kuingia ile pepo baby anasema "ngoja nikaoge" mmeanza unasikia kwa mashosti "ile laki unajua naihitaji sana "wanaume "ngoja nipumzike kidogo"
Binafsi hukereka zaidi na hii kuzungumza habari za ''hela, kazi'' wakati tunataka kufanya mapenzi. Tafadhali tumia lugha ya staha kueleza kero yako tunaweza kujifunza kwamba upande huu haupendi hiki na upande ule haupendi hiki kumbuka hapa sio JLW kwahiyo samahani halahala.