Kitu kikubwa kinachovutia katika mahaba ni USAFI...unapo ongelewa usafi watu wenye utimamu wa akili watakuwa wanaelewa nini kinazungumziwa......binafsi suala la usafi kwa mwanamke huwa nalipa kipaumbele sana...unatakiwa unapokuwa faragha na mwanamke milango yako yote ya fahamu inatakiwa ijue na itambue uwepo wa mwanamke mahali hapo...mwanamme anayezingatia ubora wa faragha na sio msukumo wa kichwa cha chini USAFI kwa mpenziwe ni suala muhmu kama katiba ya nchi....na hapo ndipo inapojitokeza utofauti kati ya MWANAMKE na MSICHANA.....