Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha uchoyo basi
kusema mambo uyapendao na ambayo huyapendi mkiwa faragha ni Kujua mambo hahahha
MAPENZI YAKO YAKO HATIHATI mmmh kama huo ni ujuzi basi wewe nakuweka kama namba A katika magari
hamna kitu hahaha
ndo umwambie sasa kwamba hupendi hilo swala
na sio wewe tu
unakuta mtu anangangania sim kama nini
Anza wewe sister
Pale anapobisha nikitaka huduma ya 0713
nimekubamba..ulinambia we mtt lolI was jusd kidding honey, hiyo kitu naipenda we acha tu, sitakagi iingiliane na kitu kingine chochote!!
I hate when am allready ooon alafu mtu anaanza kubring up mambo ambayo yalishapita like ugomvi au maudhi yaliyopita
Panya.
embu hata ujioneee aibu mwenyewe
mpaka kuitaja umeshindwa umebaki kuiwwkea a.k.a maana ni aibu tupu
HUO SIO UJANJA mmejaa hapo muhimbili na vibobo pembeni njia zimeziba mkiwa wazeee
hivi kweli ashki ndo zinakufanya uchezee kinyesi??
kama uwezi kuridhika na hiyo ya kawaida hata hiyo nyingine uwezi na utaishia pabaya
hakuna kinachoniturn off nikisema naingia ni naingiiia kama TINGATINGA
masai dada...freedom of choice ujuwe!
hakuna kinachoniturn off nikisema naingia ni naingiiia kama TINGATINGA
Hili tatizo la simu lilikuwa langu pia, mpaka one day ilipobamizwa ukutani ndio nikakoma, doooh kasimu kangu kaliniumaaa!!
Simu jamani simu spendi wakati huo