masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
- #61
Di usafi wa eneo la tukio tu, ila usafi wa mwili pia
ndio wa mwili mzima
ila usafi wa hilo eneo ni wa kuzingatia
kuna siku waliwekaga mada watu wanatumia asali sijui limao and the like
ki ukweli kule chini kuna bacteria ambao wanalinda kusishambuliwe sasa ukiwauwa kwa kutumia misabuni mikali,limao au asali ni tatizo utakuja kupata ma fungus maana vile vinavyolinda huko chini vimekufa
hapo ndipo unaanza kutoa harufu
but herw we go again huko chini lazima kusafishw vizuri haswa kipindi mtu anapomaliza period kunakuwa na majimaji
SASA NI NJIA IPI YA KUSAFISHA BILA KUHARIBU MAZINGIRA YA HUKO NA KUKUACHA UNANUKIA FRESH
pia vipi kuoga vizuri,na kufanya makeup hii haimvutii mwenza i mean kufanya ile light makeup sio ma crayz colour uko usoni mpaka taa ikizimwa unawakawaka kama taa za club