Wasichana wengi wanadhania kuwa usafi wa mwanamke unaishia tu kwenye kuvaa nguo nzuri na za kuvutia....wanadhani kuwa urembo wa mwanamke unadhihirika kwa kubadili mitindo ya nywele na kubadili rangi za kucha au kuonyesha umbo lake zuri na la kuvutia....la hasha ,usafi kwa mwanamke anayejitambua na anayetambua maana ya uanamke wake hauishii kwenye mavazi ya nje pekee wala kwenye mitindo ya nywele na kucha za kuvutia bali mpaka kwenye shina la mwanamke ambako ndio kumebeba maana nzima ya mwanamke...
..Mwanamke aliyepoteza udhibiti wa eneo hilo muhimu kwenye maumbile yake hana tena thamani mbele ya mwanaume kwa maana ya mwanaume labda kwa wavulana wanaosukumwa na kani za balehe ,wasio jua raha za huba zaidi ya kutoa kile kilichomfanya amtafute mwanamke....tumeshuhudia kesi nyingi za wapendanao wakilalamikia hali hii ili hali ukiwatazama kwa nje hao walalamikiwa wanaonekana kama wanawake kwa mavazi ya kupendeza na sura za kuvutia lakini kwa ndani wameshapoteza uanamke...
ila hata wanawake wakishapata watoto hujisahau sana
hasa wale wanaokaa nyumbani i mean mama wa nyumbani
unaondoka asubuhi amevaa dera la njano unarudi unakuta linaelekea ukijani kwa kuchafuka hata kulitoa halitoi
sasanunadhani ndani pakoje????
by the way ume base sana kwa ndani lakini unakuta mtu nywele chafuuu hazijapelekwa saluni mawiki na mwiki
kucha chafuu,hanukii vizuri HIVI HAMU INAKUJA KWELI???
unakuta ananukia maziwa tu(shati anavaa hilo hilo siku nzima hana vile vijipamba vya kuweka katika maziwa kipindi cha kunyonyesha si hivyo tu
bali pia kubadili zile nguo inaleta hamasa
MI NAONA KAMA UNAKAA HOME KAMA UNAONA MIDA YA MUMEO KURUDI NI VYEMA UKAKOGA NA KUVAA VIZURI
na nyie wanaume umekojoa na kwenda chooni hukoo siku nzima unakuja badala upitie kuoga ule ndo tuanze kuzungumza kabla hatujazama faraghani
UMEPITIA BAR HUKO UMEPIGA MISHIKAKI YAKO NA MABIA UNAVUA TU SURUALI UKIFIKA UNAVUA NA KUTAKA BLOWJOB ?????
JAMAA ANAUGWADUU WA MKOJO WA SIKU NZIMA INABOA