Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Danganya watoto wenzako. Nna miaka 72 ujue....
Unataka nini sasa?
labda alikuwa anataka akatengeze juu na chini..Kuna siku moja mchuchu mmoja wa Kizenji alinambia 'bebi naomba basi laki tano nikatengeneza nywele'
Nikamwambia 'kamwombe baba'ako'.....akanuna mpaka leo hajanitafuta tena.
Eti laki tano nimpe akatengeneze nywele....angejua nilivopinda mgongo kubeba boksi wala asingethubutu kuniletea huo upuuzi.
Hahahaaaa! Correcting a mistake with a mistake
SidanganyiiiikiiiiKwahiyo hiyo miaka yako 72 inahusikaje hapa??
Sijakugawa asee, hebu usome huu utukufu hapa chini.....
Nimeahidiwa meli ujue....
Sipendi kupewa sifa zilizopitiliza..! ati Khah.! Umejifunza wapi mapigo yote haya?
Kingine manzi akiwa sio msafi full manywele ukwapani au bad smell mwilini dah inakata stimu kinoma!
Sipendi avue nguo mwenyewe especially pichu.!
Unauikimbia bahati wewe mwenyewe....
Kuna siku moja mchuchu mmoja wa Kizenji alinambia 'bebi naomba basi laki tano nikatengeneza nywele'
Nikamwambia 'kamwombe baba'ako'.....akanuna mpaka leo hajanitafuta tena.
Eti laki tano nimpe akatengeneze nywele....angejua nilivopinda mgongo kubeba boksi wala asingethubutu kuniletea huo upuuzi.
Yaani hapa babu sina kabisaaaaa!a ngachoka mie, alafu babu Asprin unajua haujatoa experience yako hapa kuhusu mada?
Twende PM fasta.
Usiponikubalia ntakuandama mpaka kaburini
alikuambia/alikuomba mkiwa faragha????