Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

Afu cha ajabu ungepewa mzigo kimbinde sana!
Kuna mzenji alitoa mambo bila kuchojoa chochote mwilini ikiwa faragha japo ilikata stimu lkn kwa kuwa kuna gharama zilikuwa zimetangulia ikibidi fidia iende namna ile.

mkuu hapoo ikawaje mbona sipati picha
 
alafu aatu naona hawajaongelea kelele
kuna watu wanapiga hadi mayoe wkati wa faragha kama nyumba ya kupanga inakua hatari
 
alafu aatu naona hawajaongelea kelele
kuna watu wanapiga hadi mayoe wkati wa faragha kama nyumba ya kupanga inakua hatari
We huwa unafanya nini, hasa wakati mwenyewe anaingia pangoni mwako?
 
Khaaaaaah!! Hapo hata supu ya pweza inadunda babu

Afu nna roho mbaya. Nimekufanyia makusudi uchelewe kulala.... nimefanikiwa.

Nikikuambia unanipenda unabisha. sijui ukoje??
 
Back
Top Bottom