Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

Afu nna roho mbaya. Nimekufanyia makusudi uchelewe kulala.... nimefanikiwa.

Nikikuambia unanipenda unabisha. sijui ukoje??

Hahahaaaa! Walaaa sio wewe ulofanya nichelewe kulala ni masai dada na mada yake murua, hebu rudi kwenye mada sasa tafadhali, toa experience yako
 
Last edited by a moderator:
Babu mbona unatoka nje ya mada jamani?? Yaani wewe kuchepuka kuko damuni

Mwanaume asiyechepuka ana matatizo.... akiendelea kukua anaweza kuwa hanisi.... (sijasema mimi)
 
Back
Top Bottom