Kitu gani kinapelekea wanaume wenzangu kukataa mimba?

Kitu gani kinapelekea wanaume wenzangu kukataa mimba?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow

Mimi mpaka leo sijuwagi kwanini washikaji wanakataa mimba za mademu zao ilihali wao ndio wahusika

Ujue kuna vitu unatakiwa ujiepushe navyo kwenye lile tendo mfano hutaki kuzaa na huyo mwanamke basi mwaga njee au vaa kondom au kama huwezi ukitoka hapo mpe p2 japo sio nzuri sana.

Sasa wewe hujafanya hayo yote na mtoto wa watu kakuambia nipo danger unakomaa kumwagia ndani mimba imekaa halafu unamkimbia na una mkataa akatafute aliempa akamtafutie wapi wakati wewe ndio muhusika

Ase asitokee kidume akamfanyia hivi dada yangu nitachinja mtu.
 
Waulize waliozaa kuwa kwanini mwenye mimba alikataa?

Ila kuna baadh yetu wanaume hawajielewe wew fikilia kama baba yake diamond alimkataa mtoto leo anajitiisha huruma
 
Una uhakika gani kuwa alimkataa?

Mbona Mama yake alisema kuwa Baba yake ni Fulani

[emoji23][emoji23][emoji23] nishaps kesi kama hizo nying sana af nikagundua ni ujinga

Mtoto kafanana na wewe mpaka kucha af bado unagoma sio mtoto wako hii imekaa poa kweli?
 
Wanawake Ndo wanazingua, Kwann wao wasiwe makini zaidi? Kwasababu wao ndo wahanga wakubwa wa hili jambo, hawafahamu njia za uzazi wa mpango? Pia wanawake siku hizi sio waaminifu, unakuta anadate na vijana hata watatu kwa wakati mmoja...

Kubeba mimba inatakiwa iwe makubaliano sio kushtukizana tu kama tuko vitani....
 
Wanawake Ndo wanazingua, Kwann wao wasiwe makini zaidi? Kwasababu wao ndo wahanga wakubwa wa hili jambo, hawafahamu njia za uzazi wa mpango?
Pia wanawake siku hizi sio waaminifu, unakuta anadate na vijana hata watatu kwa wakati mmoja...

Kubeba mimba inatakiwa iwe makubaliano sio kushtukizana tu kama tuko vitani....

Kula zile za bahati mbaya
 
Kwa Mujibu Wa Kikao chetuu
Kili chofanyikaa jana Usiku
Wewe Sio Mwenzetu, umejitoa Kundin kwa Kukiukaaa
Maadhimio yetu
Kila La Kheri uendakoo
 
Back
Top Bottom