Kupima dna sio rahisi tu kama kupima malaria mchakato ni mrefu na inahitajika wazazi wote waamue sasa unafikiri kama mwanamke hana uhakika nani ni baba wa mtoto atakubali iyo? Kuna mchizi wangu aliambiwa na demu wake mtoto sio wake jamaa akaendelea na mambo yake kiroho safi tu miaka imeenda demu kajirudi anadai mchizi ndo baba wa mtoto, mchizi akachomoa maana ashaambiwa mtoto sio wake baada ya wana kumkalisha chini kuongea nae akakubali kubeba majukumu ya matunzo ila ipimwe kwanza dna kuthibitisha kama mtoto ni wake demu akakataa kuchukua vipimo vya dna ukicheki mtoto menyewe hajafanana kabisa na mshkaji hv katika hali iyo utakubali tu kulea mtoto