Kitu gani kinapelekea wanaume wenzangu kukataa mimba?

Anadanga. Vp mtoto ni wako au wa madanga yake ma4 pande tofauti tofauti.
Mtoto akotoka copy fresh wa kwetu akitoka kafanana naye hapana kubwa na akitoka kafanana na danga basi wa danga.
Simple 2
 
Duh wew kwanini ukale kwa danga
 
Kukataa mimba ambayo una uhakika kua ni yako sio poa,ila kama una wasiwasi basi gharamia mimba mpaka mtoto azaliwe kisha pima DNA TEST

Kama sio mwanao basi fanya yale matunzo ya mimba ni kama ulitoa sadaka kwa kile kiumbe kilichokua tumboni na Mungu atakubariki ila uache zinaa.
 
Wew sasa ndio umeongea kwa fact kunya soda hapo ulipo
 
Kuna muda hao madada wenyew hawaeleweki...mdada ana mabwana wa5...mtaa mzima unajua kuwa una wenzako...!!kwa hapo lzm mwamba akatae..!!hakuna mwanaume anayetaka kuonekana mjinga...!!akitoka amefanana sawa...
 
Hellow

Mimi mpaka leo sijuwagi kwanini washikaji wanakataa mimba za mademu zao ilihali wao ndio wahusika

Ujue kuna vitu unatakiwa ujiepushe navyo kwenye lile tendo mfano hutaki kuzaa na huyo mwanamke basi mwaga njee au vaa kondom au kama huwezi ukitoka hapo mpe p2 japo sio nzuri sana.

Sasa wewe hujafanya hayo yote na mtoto wa watu kakuambia nipo danger unakomaa kumwagia ndani mimba imekaa halafu unamkimbia na una mkataa akatafute aliempa akamtafutie wapi wakati wewe ndio muhusika

Ase asitokee kidume akamfanyia hivi dada yangu nitachinja mtu.
Kwa Nini usijaribu patia mimba, alafu utupe majibu,
Nadhani ujakutana na manzi ako na mission yake.
 
Hellow

Mimi mpaka leo sijuwagi kwanini washikaji wanakataa mimba za mademu zao ilihali wao ndio wahusika

Ujue kuna vitu unatakiwa ujiepushe navyo kwenye lile tendo mfano hutaki kuzaa na huyo mwanamke basi mwaga njee au vaa kondom au kama huwezi ukitoka hapo mpe p2 japo sio nzuri sana.

Sasa wewe hujafanya hayo yote na mtoto wa watu kakuambia nipo danger unakomaa kumwagia ndani mimba imekaa halafu unamkimbia na una mkataa akatafute aliempa akamtafutie wapi wakati wewe ndio muhusika

Ase asitokee kidume akamfanyia hivi dada yangu nitachinja mtu.
Mkuu unadate na dem unajikuta mpo wa4 wote anawatembezea sasa mtu kama huyu unategemea akibeba mimba ukubali hata kama ni ya kwangu lezima nichimbe. Mm kuna mmoja aliniambia ana mimba yangu nikailea, hadi anajifungua vizuri tu. Sasa tukagombana siku moja baada ya wiki akaniambia mtoto amefariki. Nikamwambia sawa.
Baada ya miezi kadhaa akaniambia anataka hela ya matunzo ya mtoto. Sijamtumia hadi kesho mtoto ana miaka 2.8 ila nataka akifika umri wa shule ndo nitatake over
 
Wote waliwi wana makosa.
-- mwanamke kicheche hana uhakika mimba ya nani..
-- wanaume wakwepa majukumu ndy mabingwa wa kukataa ujauzito..
 
Back
Top Bottom