Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Waulize waliozaa kuwa kwanini mwenye mimba alikataa?
Una uhakika gani kuwa alimkataa?Ila kuna baadh yetu wanaume hawajielewe wew fikilia kama baba yake diamond alimkataa mtoto leo anajitiisha huruma
Una uhakika gani kuwa alimkataa?
Mbona Mama yake alisema kuwa Baba yake ni Fulani
Wapo wanaokataa na watoto pia
Mimba hukataliwa mtoto hakataliwi baada ya kujiridhisha ni wangu mlete
Kabla uwaze kuchinja mtu kwa kumpa mimba dada yako, kwanini usimuelimishe yeye kutojihusisha na watu wasioeleweka?
Mungu angefanya kama ni yako kwenye tumbo lake kunatokea jina lako sidhani kama kuna mtu angekataa.
Wanawake Ndo wanazingua, Kwann wao wasiwe makini zaidi? Kwasababu wao ndo wahanga wakubwa wa hili jambo, hawafahamu njia za uzazi wa mpango?
Pia wanawake siku hizi sio waaminifu, unakuta anadate na vijana hata watatu kwa wakati mmoja...
Kubeba mimba inatakiwa iwe makubaliano sio kushtukizana tu kama tuko vitani....
Hakuna uhakika kama mimba ni yako au umapachikiwa tu
Wahuni hao wadada...hata kama wanajua sio yako ila wanakupa tu simply una uwezo wa kupata ugali nyama