Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
Habarini wadau,
Kumekuwa na matukio mfululizo ya wanaume kuwafanyia wake/wapenzi wao matukio ya kikatili ikiwemo mauaji ya kikatili.
Imeripotiwa mara kadhaa na vyombo vya usalama, najua wengi wenu mmesikia bila hata ya mimi kuorodhesha matukio.
Swali ni je? kitu gani kinasababisha hali hii?
-Ni wivu wa kimapenzi pekee au kuna mengine nyuma ya pazia?
Wito wangu kwetu sisi wanaume, tujifunze ku control hasira zetu, hata akikuudhi kiasi gani achana nae, wanawake wapo wengi sana.
Naomba kuwasilisha.