Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,011
- 5,188
So sad 😿Na wengine unakuta walishindwana hadi wakaachana lakini mwanaume anatoka huko sijui kachoshwa na penzi jipya na hasira zake anaenda anachoma nyumba alimolala ex mkewe na watoto anangamiza wote
Ushetani mtupu!Na wengine unakuta walishindwana hadi wakaachana lakini mwanaume anatoka huko sijui kachoshwa na penzi jipya na hasira zake anaenda anachoma nyumba alimolala ex mkewe na watoto anangamiza wote
Wanaume wanafanya vituko wakiamini huyu nishamuoa na kumzalisha hana ujanja ila anashangaa mkewe akishachoka hajali anaamua kuondoka hapo mwanaume anabaki na hasira akidhani anadanganywa na wanaume wengine huko nje, anasahau matendo yake kwa mwenzie matokeo yake anaona wivu mkewe kuishi kwa amani anamkatili maishaSo sad 😿
Wanaume tumekuwa wakatili sanaUshetani mtupu!
Dunia yaelekea ukingoni..Wanaume tumekuwa wakatili sana
Shida tumeweka akilini kwamba wanaume ndo hufanya ubabe ndani ya familia, ila nikwambie kwenye familia nyingi wanaume wananyanyasika sana ,na kwa mfumo uliopo wanaume wamekua wakiumia nyoyoni mwao bila kwenda kwenye vyombo husika toa taarifa labda kwa kuona haibu , matokeo hujikuta wakifanya matendo magum bila kutarajia.Habarini wadau,
Kumekuwa na matukio mfululizo ya wanaume kuwafanyia wake/wapenzi wao matukio ya kikatili ikiwemo mauaji ya kikatili.
Imeripotiwa mara kadhaa na vyombo vya usalama, najua wengi wenu mmesikia bila hata ya mimi kuorodhesha matukio.
Swali ni je? kitu gani kinasababisha hali hii?
-Ni wivu wa kimapenzi pekee au kuna mengine nyuma ya pazia?
Wito wangu kwetu sisi wanaume, tujifunze ku control hasira zetu, hata akikuudhi kiasi gani achana nae, wanawake wapo wengi sana.
Naomba kuwasilisha.
View attachment 3272212
Sahihi kabisa mkuuNadhani hasira, hasira za papo Kwa papo....
Movies, matendo mengi tutanaangalia kwenye hizi movies tukiwa wadogo hata. Wakubwa vinaathiri saana namna ya kuwaza na kufanya maamuzi pale ambapo mmehitilafiana. Yaan movies zimetufanya kuua au kumchinja MTU tuone ni Jambo la kawaida.
Kutokuwa na hofu ya Mungu, kutokusameehe....wenye hofu ya Mungu, si Rahisi kutenda ukatili...
Shida pia, unakuta MTU anamchinja mwenzake Kwa sababu hajamlipa deni la elfu tano,japo hata matajiri wanauwana, Ila wenye kipato cha Chini ni Rahisi zaidi...
Matunizi ya madawa ya kulevya na pombe
Anyway kikubwa zaidi tuwaleee vijana kwenye msingi WA Imani za kidini, kuzingatia utu.
Movies za ajabu ajabu sio nzuri Kwa watoto.
Mwanamke lazima apigwe kofi from time to time....lah sivyo ndio utaishia sikia nipige kama wee mwanaume nipige.Habarini wadau,
Kumekuwa na matukio mfululizo ya wanaume kuwafanyia wake/wapenzi wao matukio ya kikatili ikiwemo mauaji ya kikatili.
Imeripotiwa mara kadhaa na vyombo vya usalama, najua wengi wenu mmesikia bila hata ya mimi kuorodhesha matukio.
Swali ni je? kitu gani kinasababisha hali hii?
-Ni wivu wa kimapenzi pekee au kuna mengine nyuma ya pazia?
Wito wangu kwetu sisi wanaume, tujifunze ku control hasira zetu, hata akikuudhi kiasi gani achana nae, wanawake wapo wengi sana.
Naomba kuwasilisha.
View attachment 3272212
Ndo hadi kuua mkuu?Mwanamke lazima apigwe kofi from time to time....lah sivyo ndio utaishia sikia nipige kama wee mwanaume nipige.
Mwanamke ni kwenda naye taliban style akizingua ni ruhusa kumpiga makofi. Hataki arudi kwao.
Haman mwanaume mwenye akili atampiga kofi mke wake pasipo mke wake kumkorofisha
huu ndo ukweli mkuu.. sisi sio wajinga huwezi mfanyia mwanamke tukio bila sababu! watu waelewe wanawake sio watu wzrShida tumeweka akilini kwamba wanaume ndo hufanya ubabe ndani ya familia, ila nikwambie kwenye familia nyingi wanaume wananyanyasika sana ,na kwa mfumo uliopo wanaume wamekua wakiumia nyoyoni mwao bila kwenda kwenye vyombo husika toa taarifa labda kwa kuona haibu , matokeo hujikuta wakifanya matendo magum bila kutarajia.
Leo kwa mwanamke inakua ni unyanyasaji ila kwa mwanaume akitendewa, sio unyanyasaji kwa sababu wanaume wamekua watu wakubeba mambo yao nyoyoni mwao, leo ni ngumu sana kuta kesi mahakamani ya mwanaume nyanyasika ,ila za wanawake ndo zimejaa tele
✅✅✅➡️ Changamoto za afya ya akili mf. Narcissistic personality disorder, inferiority complex, sociopathism, sadism n.k
➡️ Simping - kujitoa sana kwa mwanamke ukitegemea kuwa kujitoa kwako (kwa hali na mali) kutathaminiwa na kuwa reciprocated na badala yake unaambulia dharau, matusi, kutwezwa, kutothaminiwa na kutopendwa. Wengi huumia sana wakiona kuwa kujitoa kwao hakuna faida mpaka kufikia hatua ya kusema liwalo na liwe ubaya ubwela!
➡️ Moyo wa visasi. Umenifanyia hivi baada ya kukufanyia kila kitu. Kumbe hunijui!
➡️ Wivu uliopitiliza + control freak
➡️ Abusive behavior. Hawa jamaa huwa wanapiga wake/wapenzi wao. Hawaanzi tu kuua from nowhere. Mabinti nao huvumilia wakidhani kuwa pengine watabadilika. Kumbe it only gets worse. Huwa nawaambia mabinti; ukiona mpenzi wako yuko abusive hasa physically (emotionally kuna njia za kudili naye), basi ondoka. Vinginevyo huko mbele ya safari kuna kuuliwa kama siyo kutiwa vilema vya kudumu.
➡️ Msongo wa mawazo unaoweza kusababishwa na hali mbaya ya kiuchumi, upungufu wa nguvu za kiume, madeni, hekaheka za maisha n.k.
➡️ Sadly - mwanamke mkorofi. Hii siyo justification whatsoever lakini kuna wanawake pasua kichwa hatari. They never back down na wakikiwasha wamekiwasha. Mwanaume anaweza kufikia hatua akaamua kupiga na kupitiliza akaua kabisa.
➡️ Kuchapiwa. Many men can't handle it...
Siku hizi hata wanaume wanakuwa abused sana majumbani huko na wanateseka kimya kimya maana hawana mahali pa kukimbilia. Tunapopinga mambo haya, tuwakumbuke na wanaume hawa wanaonyanyasika huko kimya kimya. Wengi wao huishia kufa mapema, huamua kujiua na hata kuuliwa pia.
Wanaume kua na Mke mmoja au Mpenzi mmoja shida ipo hapo.Habarini wadau,
Kumekuwa na matukio mfululizo ya wanaume kuwafanyia wake/wapenzi wao matukio ya kikatili ikiwemo mauaji ya kikatili.
Imeripotiwa mara kadhaa na vyombo vya usalama, najua wengi wenu mmesikia bila hata ya mimi kuorodhesha matukio.
Swali ni je? kitu gani kinasababisha hali hii?
-Ni wivu wa kimapenzi pekee au kuna mengine nyuma ya pazia?
Wito wangu kwetu sisi wanaume, tujifunze ku control hasira zetu, hata akikuudhi kiasi gani achana nae, wanawake wapo wengi sana.
Naomba kuwasilisha.