Kitu gani kitanizuia kuwa Kama Elon Musk

Kitu gani kitanizuia kuwa Kama Elon Musk

privilege
nakazia hapa,

watu wanadhania eti wanaweza kua billionaires wakifanya kazi kwa bidii.... kwamba kila kitu kinawezekana ukijituma, wanaangalia motivational speakers hawachimbi kwa undani kwamba hao role models wao walikua na bahati/usaidizi flani....

mfano tu, watu wanaona kama elon alikua maskini mwanzoni wakati baba yake alikua ni mhandisi tajiri na alikua anajihusisha na mambo ya migodi..... hapo tayari elon alishapata cha kuanzia, ukiongezea na mama yake alikua mcanada, kwahiyo aliweza kupata uraia kiurahisi
 
Waswahili wanasema MBUZI ni MBUZI hawezi kuwa Simba.

1. Mungu Ndiye anayetupa vipawa japo Africa ni mbovu.
2. Bidii yako ya upambanaji mbovu
3. Mazingira unayoishi mabovu
4. WATU wanaokuzunguka WA bovu
5.Rangi ni changamoto kubwa mno.. mbovu
6. Resources mbovu
7. ELIMU mbovu
8. SELIKALI mbovu
9. Ujinga WA Simba na yanga.
10. LAANA ya UJINGA UMASIKINI na MARADHI.

Jikubali JINSI ulivyo taka wewe kuwa kama wewe tengeneza Empire yako.
 
Anza na Kubadili uraia,pata uraia wa Marekani kisha endelea kuishi Bongo kama mgeni

kisha endelea fukuzia ndoto zako,penye nia pana njia ila hata uwe na nia gani bila kuwa mzungu hata kimaandishi hutoboi.
Ndoto tunazo, Lakini huo usingizi wa kuzitimiza Upo?????, Akili Kichwani!!!!!!
 
Hapo kwenye kipengele cha kuwa programmer/coder umekiondoa ... kwanini.?

Je kama Elon kakatiliwa kuleta huduma yake ya teknolijia ya internet hapa Tz..
Unafikiri wewe serikali yao itakuruhusu/support wewe i.e (kukupa vibali) kuzifanya project kama anazozifanya elon huko marekani.??
 
Waswahili wanasema MBUZI ni MBUZI hawezi kuwa Simba.

1. Mungu Ndiye anayetupa vipawa japo Africa ni mbovu.
2. Bidii yako ya upambanaji mbovu
3. Mazingira unayoishi mabovu
4. WATU wanaokuzunguka WA bovu
5.Rangi ni changamoto kubwa mno.. mbovu
6. Resources mbovu
7. ELIMU mbovu
8. SELIKALI mbovu
9. Ujinga WA Simba na yanga.
10. LAANA ya UJINGA UMASIKINI na MARADHI.

Jikubali JINSI ulivyo taka wewe kuwa kama wewe tengeneza Empire yako.
Nimescreenshort hii , nitaiweka akilini
 
Location yako tufanye kitu na vp
Iko vizuri kwenye mathematics
 
Habari Wana jf
Mimi ni mtanzania niliye na shauku kubwa ya kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa duniani hasa wa kifedha , Elon Musk ndiye role model wangu.
Nikifatilia story za Elon Musk ili nijijenge zaidi

👉Kwenye Kati ya speech yake Elon alisisitiza watu wafute social media, basi nami sikuchelewa nikafuta account ya Facebook na Instagram
👉Elon Musk pia wakati anasimulia kuhusu story yake ya Maisha alisema at 13 alikuwa amejifunza coding lakini pia alikuwa anaweza kutengeneza application hapa nikapishana nae.
👉Kinacho ni inspire zaidi ni kwamba Elon ni kijana wa kiafrika tu from South Africa aliyesoma physics akaielewa.
Basi niambieni ni kitu gani kitanizuia Mimi kuwa Kama Elon Musk miaka 10 baadaye
Katokea familia ya kishua baba yake tajiri
Hakuna familia maskin ya kizulu mtoto wa miaka 13 anajua coding miaka ya 1980's
 
Labda uwaze haya ukiwa na miaka 7. Ila na 25+ hutoboi labda ukazaliwe upya Merekani.
 
Mwalimu wangu Dokta George aliniambia huwezi kuwa na akili timamu kama unakula chakula cha chini ya Tsh. 3000 kwa mlo mmoja.
Na alisisitiza kabisa, aina ya vyakula tunayotumia ina direct impact na uwezo wetu wa kufikiri.
Mkuu ongezea nyama hapo kwenye aina ya vyakula
 
Back
Top Bottom